Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

JF Prefixes:

Habarini wafugaji,nimepitia nyuzi nyingi humu ndani. Ufugaji wa kuku,Bata na ng'ombe umezungumziwa kwa kiasi kikubwa sana, nyuzi hizo zimenisaidia katika mradi wangu wa ufugaji. Kwa sasa nataka...
18 Reactions
247 Replies
50K Views
Katika hekaheka za kujiandaa kustaafu miaka 7 baadae nimeamua nipande miche kama 500 yaani ekari 10 za maembe kisasa. Shamba lipo Tabora kwa sasa naendelea kuchimba mashimo. Nitapanda bila...
26 Reactions
115 Replies
6K Views
Mimi ni mtumishi wa Umma kwa zaidi ya miaka 21 na sasa ninakaribia 50.Nafikiria nipande michikichi ya kisasa eka 10 ambayo huanza kuzaa baada ya miaka 3,hivyo nikiwa na miaka 53 takuwa na uwezo wa...
4 Reactions
33 Replies
2K Views
MBUNGE MAVUNDE AKABIDHI MRADI WA SHAMBA KWA WANAWAKE WAFANYABIASHARA WADOGO DODOMA ▪️Mradi wa shamba la zabibu walenga kuwainua wafanyabiashara ▪️Wakinamama wampongeza kwa kuwainua kiuchumi...
3 Reactions
7 Replies
248 Views
Habari! Msaada tutani. Kwenye makazi ninayoishi huku mtaani nina changamoto ya mbwa kula mayai ndani ya banda naamini kama wafugaji wenzangu mmepitia changamoto hii je mliitatuaje ushauri...
6 Reactions
35 Replies
1K Views
Leo Tarehe 30 Jan 25 umefanyika mnada wa kwanza wa zao la Korosho kwenye Ghala la Kuhifadhia Korosho na bei kutangazwa ni Tsh 3,167/= kwa kilo Moja. Tunaendelea kuupiga mwingi.
4 Reactions
12 Replies
599 Views
Habarini za muda huu naombeni mawazovyenu nimelima upupu au velvet beans naombeni msaada wa soko, black Velvet ipo ya kutosha zaidi ya tani kumi, nahitaji wanunuzi =========
0 Reactions
10 Replies
882 Views
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji amesema kuwa zoezi la Utambuzi wa wanyama sasa litafanyika bila gharama yoyote kutoka kwa wafugaji baada ya Serikali kuamua kugharamia zoezi hilo...
2 Reactions
5 Replies
217 Views
Mbolea ya Boron iwe ya maji, au kwenye mifuko tafadhari
0 Reactions
1 Replies
176 Views
Huu hapa ni mchanganuo wa kulima ekari moja ya mahindi kwa sasa hivi 1. Kukodi shamba ekari 1 - 70,000/- 2. Kulima shamba mara 2 - 60,000/- 3. Mbegu pakiti 6 sawa kg 12 - 72,000/- 4. Kupanda...
22 Reactions
85 Replies
34K Views
Nina kuku wa mayai zaidi ya 1,000 wanakwenda wiki ya 19 lakini wamegoma kudondosha yai. Licha ya kununua chakula cha kiwandani kuanzia Wana siku ya kwanza mpaka leo. Lakini pia uzito wao walionao...
14 Reactions
149 Replies
6K Views
Habari za wakati huu ndugu zangu najua wengi mmesikia kuhusu kilimo cha miti ya mitiki hekari moja inaweza kukuingizia zaidi ya milion 300 kwa hekari moja kwa miti iliyokomaa. sasa basi lipo...
3 Reactions
11 Replies
358 Views
Habari za jioni wana JF. Katika kutafuta fursa za kimaisha baada ya kustaafishwa rasmi na Trump 😃😄😁😀. Niliwasiliana na jamaa yangu mmoja ambaye naye amestaafishwa na Trump ambaye alikuwa...
8 Reactions
61 Replies
2K Views
Watanzania wengi nikiwemo mimi tuneisha ingizwa mjini na hawa wahuki walioko Morogoro wanao dau wao ni Sokoine University na wanauza miche kumbe sio kweli. Jana kuna Mzee wangu kanunua miche kwa...
11 Reactions
33 Replies
1K Views
Jumapili, Februari 9, 2025 WAKULIMA WAPEWA UJUZI KUINGIA MASOKO YA NJE https://m.youtube.com/watch?v=g4lX5ji0qBQ Ukosefu wa maarifa na ujuzi miongoni mwa Watanzania, hususan wale walioko katika...
1 Reactions
6 Replies
213 Views
Watanzani wengi kwanza tukubali hatuna elimu ya GMO zaidi ya story za vijiwe vya kahawa na Tangawizi huko ndio tunalishana matango poli, Pia kwa uelewa wetu mfinyu tunazania GMO ni mazao yasio...
3 Reactions
5 Replies
203 Views
Ziwa Victoria lina umri wa takribani miaka 400,000 na ujazo wake wa kawaida ni kilomita za ujazo 2,760 (2,760 cubic kilometres). Mvua za mwaka jana ziliongeza ujazo wa maji ndani ya bonde la Ziwa...
0 Reactions
1 Replies
168 Views
Natafuta mdau wa kushirikiana nae kufuga kuku dodoma ambae mwenye eneo na nia ya biashara hii mtaji ninao na masoko
4 Reactions
45 Replies
1K Views
1. Kadi ya Usajili wa Chombo cha Moto. 2.Mkataba wa Kisheria wa Mauziano na Risiti ya EFD kutoka kwa Mwanasheria aliyesaini mkataba huo au risiti ya manunuzi uliyopewa wakati wa manunuzi wa chombo...
0 Reactions
0 Replies
116 Views
Back
Top Bottom