Have you ever stopped to think that one of nature’s coolest superheroes might just be... a fly? No, not your typical picnic-ruining pest. I’m talking about the black soldier fly—a slick...
Itoshe kusema mko poa wakuu.
Leo nimeona si vibaya ni share nanyi Kwa uchache japo aina4 za kuku wa kienyeji japo najua/mnajua Kuna aina nyingi sana za kuku Hawa.
Mimi nitawajia Hizi aina 4...
Habari za majukumu wanajamvi,
Naomba kuuliza kwa mtaji wa laki sita nifuge kuku gani kati ya hao sasso au broiler nalenga kufuga kibiashara n.b banda tayari ninalo na vyombo vya chakula na maji...
Nimekaa hapa leo nikawa najiuliza ni kipi bora kati ya kilimo na ufugaji..nikawa nafikiria kufuga n'gombe wa kienyeji ambao kimsingi wana soko kubwa hapa nchini..changamoto kubwa kwa haraka haraka...
Nimechoka kuajiriwa, nina Mtaji wa Milioni 5 na nataka kujikomboa kupitia kilimo/Ufugaji. Naombeni Ushauri niingie kwenye kilimo/ufugaji gani kwa kuzingatia mtaji, uendeshaji na urahisi wa masoko...
Sababu 10 Za Kuku Kupunguza Utagaji Mayai Na Nini Ufanye Kuongeza Uzalishaji Wa Mayai | Mshindo media.
Kupungua kwa mayai yanayo zalishwa kwa siku katika shamba lako la kuku watagao mayai ni...
Wana JF,
Nimeona mm pia nitoe testimonial kwa faida ya wajasiriamali wanaopenda kilimo na ufugaji.
Ndoto yangu imekuwa kutafuta ujasiriamali utakaoniwezesha kuachana na ajira at 40 yrs. Baada ya...
Habari wakulima na Wafugaji
Mimi ni mkulima Mdogo wa mazao ya Matunda kama machungwa na passion ila nimejaribu na kilimo cha papai naona kinakuja vizuri.
Nimeanza na miche 1000 ya kisasa na...
Matunda ya Amarula tumeyala sana utotoni, ni matunda ndani yako kama ilivyo embe sema yana uchachu kwa mbali sana na pia yanalewesha ukila mengi hivyo yulikuwa tunakula kiasi tu. Ukiachana na...
Habari Wadau wenzangu!
Nina siku 15 (Wki 2 nasiku 1) tokea nimeanza ufugaji wa kuku wa kienyeji. Nilianza na Majike 15 na jogoo 1, nashukuru leo tarehe 21/09/2014 nimekamilisha trei moja la...
Wakuu kwa anaefahamu vyema juu ya hawa viumbe atujuze!
1:Aina mbalimbali za sungura
2:Namna bora ya kuwafuga
3:Faida na hasara za zake
4:Mengineyo kuhusu hawa viumbe
Wanajamvi na tumaini mko poa mimi ni kijana ambae nahitaji nitimize ndoto zangu kupitia kilimo.
Nilikuwa natafuta mtu alie serious tuingie kwenye kilimo mkoa wowote ambao tutaona unafaa...
JINSI VIJANA WA KAZI WANAVYO WEZA KUKUPIGA KWENYE KUKU WAKO.
Ukiwa unafanyanufugaji wa simu ni lazima pia kujiandaa kwa majanga.
1. Kupitia mayai- Una kuku 300 wakutaga lakini kwa siku...
Tanzania ni nchi yenye walaji wa nyama wengi na kuku huliwa kwa kiasi kikubwa sana. Hata kama bei zinapanda, ulaji unaendelea kukua kila siku.Matokeo yake ni kwamba kufuga kuku inaweza ikawa...
Nina mpango wa kuanza kilimo cha mboga eneo ninalotegemea kuvuta maji ni mita 200 je nichukue pump ipi?
vigezo ninavyovitaka
1. Uwezo wa kumudu kuvuta na kusukuma maji umbali wa mita 200
2...
Mimi binafsi nahitaji nianze ufugaji wa kuku chotara, ambao wanataga na kuatamia, pamoja na kuku wakienyeji. Ingawa Kuna Comment ya mkuu Kalamu niliwahi isoma hapa jukwaani akiisema kuku...
Na Samwel Marwa (Mwandishi wa Habari na Mtaalam wa Mawasiliano ya Umma).
"Naishauri serikali kuchukua hatua za pamoja na za haraka zaidi ili kukomesha vikundi hivi vya maharamia 'Mamayao' ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.