Nilikua nataka kufaham km mil 1.5 inaweza ikatosha km mtaji wa kuanza kufuga broiler na chotara mana mi ndo kwnz nataka nianze hii biashara.
Na je na kama haitoshi ni kiasi gani kinahitajika...
Wapendwa Habari zenu
Poleni na majukumu ya kulijenga Taifa.
Lengo la huu uzi ningeomba kwa wale waliowai kulima nyanya Mkoani Mbeya tupeane ushauri msimu gani wa kulima na vitu gani vya...
Za jioni wandugu,
Nimetembelea mkoa wa Iringa, niweza kujionea maajabu na fursa nilizozikuta. “Kweli tembea ujione”.
Tenga la nyanya, ambalo linatoa mbaka ndoo kubwa tatu, linauzwa 15,000 ...
Jf salaam
Huwa nashangaa sana mtu kuanza kuinadi hii miti ya kisasa akiiponda ya kienyeji (asili).
Ukweli ni kwamba miti ya matunda ya asili inazaa sana iwapo itatunzwa kidogo tu!
Na daima ni...
Kumekuwa na uwekezaji mkubwa wa ufugaji wa samaki hasa katika Ziwa Victoria.
Hili ni jambo la kupongeza sana na mpaka Wachina wamejenga kiwanda cha vyakula vya hawa samaki.
Juzi nimepita...
Habari wakuu,
Hembu wazoefu wa kilimo,nipeni ushauri huu.
Kwanza angalizo la mwazo:-
Miti hiyo ni kama decoration,badala ya kuwa na mauwa kwenye Nyumba,nimeamua iwe ni Royal Fruits House of my...
■ FAIDA YA KUTUMIA MAX PIG SUPER MEAT.
-Nguruwe hukuwa haraka pasipo kudumaa na kuongeza uzalishaji wa nyamaa Tamu isiyo na mafuta mengi yenye hadhi ya kimataifa.
-Nguruwe kuingia joto kwa wakati...
Mahindi na karanga ni mojawapo ya mazao muhimu ya chakula. Mazao hayo huweza kushambuliwa na fangasi wanaozalisha sumukuvu ambayo huathiri usalama wa chakula.
Sumukuvu ni nini? Sumukuvu ni sumu...
Kheri kwenu wapendwa nimeamini kila kitu ni nia na kujituma.
Mwezi wa saba nilinunua tetea 30 na jogoo 3 wanaotetea mwezi wa nane nikapata vifaranga 280 na mwezi huu wa tisa 220.
Na bado...
Natamani kufuga sangara ila vifaranga vya sangara sijui nitawapatia wapi? yeyote wakunieleza nakaribisha kwa moyo wote.
Na kama hakuna anae uza kwanini mtu asianze utafiti na kuzalisha vifaranga...
Salaam wakuu, kwanza niwatakie mapumziko mema ya sikukuu ya Maulid.
Kama title inavyojieleza nataka tushare na wewe mbinu mbalimbali za kumfanya mbwa wako kuwa mkali zaidi na kuogofya wezi na...
Nchini Indonesia, mbinu ya kale hutumiwa ambayo inachanganya mashamba ya mpunga na mabwawa ya samaki.
Samaki husaidia kudhibiti wadudu kwa kuwala wadudu hao na kuchangia kurutubisha udongo kwa...
Baada ya kumaliza degree yangu ya pili na kuona kuwa ajira kama ajira haiwezi kuwa mkombozi wangu kiuchumi niliamua nifatilie mawazo mbalimbali ya ujasiriamali. Nikafikiria ujasiriamali wa...
Kazi ya tekinolojia ni kutatua changamoto za kijamii,hasa zile zinazokumba shughuri za uzalishaji mali.
Najua kuna changamoto umesha wahi kukutana nayo,na ukatamani uwepo wa kifaa flani kutatua...
Kahawa imekuwa zao muhimu la biashara nchini Tanzania kwa zaidi ya karne moja, ikichangia kwa kiwango kikubwa uchumi wa taifa na ustawi wa wakulima wadogo.
Hata hivyo, katika miaka ya hivi...
Heri ya mwaka mpya .
Leo katika pita pita zangu mitandaoni nilikuwa naangalia mambo ya uvuvi swali langu Kwa wavuvi kwanini wazungu akishika wavu akarusha kwenye mto,ziwa ,bahari...
Kama ambavyo kichwa Cha habari kinaeleza, Mimi ni mfugaji wa kuku wa kienyeji toka singida singidani Nina deal na Hawa kuku na hakika nmeona ni wastahimilivu sana wa magonjwa endapo wataanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.