Utangulizi:
Nyanya ni zao la mboga ambalo hulimwa sehemu nyingi duniani kwa ajili ya matumizi ya nyumbani na pia kama zao la biashara. Inahisiwa kuwa asili ya nyanya ni nchi ya Peru/Equador huko...
Msimu huu wa kilimo ntakua natoa maelezo ya kitaalamu na picha live toka shambani kwa vitendo kuanzia kuaandaa shamba, kuchagua mbegu, kupanda, kuzuia wadudu na magonjwa, mbolea, kupalilia hadi...
Kipindi hiki cha Mvua unaweza pata baadhi ya miche ya Kiwi, Pixie Orange na Dragon kwa matumizi ya nyumbani yaani Backyard.
Kiwi ni vein, na kiwi inahitaji uoteshe jike na Dume, kuna kiwi jiie na...
Naomba kupata uzoefu wa matumizi ya Mbolea za kukuzia katika kilimo cha mbegu zinazozalia chini...mfano karanga.
Nimejaribu ku google lakini maelezo hayajitoshelezi
Aidha nimeongea na wa kulima...
Kuna watu wapo busy kuhangaika kutafuta ajira Serikalini na mashirika binafsi, wengi hufikiri kuwa wanaweza kutoka kwa kuajiriwa, vijana wengi wanaogopa kujihusisha na kilimo aidha wanafikiri kuwa...
It is another blessed Tuesday and thank Allah for this wonderful moment OK OK OK twenzetu kwenye Mada yetu Wakuu hahahahaha I'm back again
Wakuu ama kweli kilimo hakimtupi Mkulima aisee hawa...
Nisha wahi kuja na post kuhusu haya matunda. Haya matunda yanalimwa comercialy na watu wa mbele hawa wanayapenda sana, Ni matunda tiba, Niliwahi leta uzi wake humu, coment zikawa ni kule kwetu...
Utangulizi
Tanzania ina nafasi kubwa katika sekta ya kilimo na ufugaji. Kwa matumizi bora ya rasilimali hizi, wakulima na wafugaji wanaweza kuongeza uzalishaji na kuboresha kipato chao. Makala hii...
Tanzania imefanya hatua kubwa kwa kuongeza bajeti ya kilimo hadi kufikia Shilingi Trilioni 1.3, ikiwa ni ongezeko kubwa linalolenga kukabiliana na changamoto za mavuno zinazoikumba dunia. Hatua...
Habari za siku ndugu wanajamvi. Kama ilivyo katika kichwa Cha thread hapo juu, nataka niende kulima ngano katika wilaya ya Sumbawanga.
Naomba Ushauri wenu hapo Kwa wote, ili niingie katika...
MAGONJWA YANAYO WAKUMBA SANA MBWA
Mbwa ni mnyama muhimu sana katika maisha ya binadamu kwani mnyama huyu husaidia katika ulinzi na mapambo katika nyumba, hivyo basi kumtunza mbwa ni jambo la...
Naomba niwasilishe kutaka kuelezwa zaidi juu ya kilimo cha Korosho kwa Mkoa wa Pwani. Naomba mwenye kuelewa atufahamishe mimi na wengine gharama toka awali za kupanda mikorosho katika shamba la...
Wakuu nimepata wazo la kua mvuvi lakini nataka nitumie ndoano katika shughuli zangu za uvivu hvo nilikua naulizia ndoano za kisasa na affordable kwa mimi mlala hoi, napia nikapata na bei ya life...
Baada ya kukaa muda mrefu bila kujihusisha na ufugaji wa aina yoyote, kuacha mbwa mmoja ambae namfuga kwaajili ya ulinzi, mwaka jana, 2024 mwezi wa kumi mwanzoni, niliamua kuanza ufugaji wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.