Habari,
Wapendwa naomba msaada nataka nifanye biashara ya kuuza Sendoz za kimasai nitoe Dodoma nkafungue duka Mkoa mwingine ambako ni adimu kupatikana.
Sasa naomba kujua nitapata wapi nchukue...
Baada ya kuona maisha yamekua magum nyumban na uwezekano wakwenda shule mwaka huu kuwa mgum nimeamua kujtoa muhanga kwenda mkoa wa iringa ili kuangalia fursa mbalmbal ambazo zaweza kúnisaidia...
Wanajamvi naomba msaada kwenu....
Nategemea kupata kuku wa nyama hivi karibuni hivyo naomba kupewa maelekezo pindi tu watakapofika.
Kuku watakuwa 200 , banda lipo zuri, .
Chakula gani na...
Incubators full automatic zenye uwezo wa kuchukua mayai 528 kwa wakati mmoja zinapatikana pamoja na garantii ya mwaka mzima!
wasiliana na namba 0763 395933 au 0785 670038.
Karibuni sana
Je umeshafanya biashara yoyote bila mafanikio? au kujarb harakat zozote za kujikwamua kimaisha bila mafanikio?
Kama jibu ni NDIO tuone sisi wataalam wa semina za ujasiria mali tukupe mbinu na...
Wajasiriamali nauliza soko la uhakika la samaki aina ya kambale au Catfish....Hivi kuna hotels ambazo wanatumia hawa samaki.? au naweza je kufanya value addition.?
Wanajamvi natafuta mayai ya kuku wa kisasa kwa ajili ya kuuza maana nina fremu yangu ya mayai lakini mzigo napata kwa kusuasua....Mwenye nayo naomba anipe bei nzuri na uwezo wake kunisupply...
4Corners Alliance Group ni kampuni inayotokana na kampuni mama ya Cornerstone LLC iliyopo Las Vegas Marekani. Imeanzishwa mwaka 2012 na mwanzilishi wake akiwa ni David Harrison ambaye alikuwa ni...
Kwa mahitaji ya kupimiwa viwanja,mashamba na kutafutiwa hati miliki wasiliana nami kupitia namba hii+255716638238..uweze kupimiwa ardhi yako kwa bei nafuu...
Wadau naomba kufahamu bei ya viazi mviringo ya tarime, nataka nifahamu niiweke katika mpango wa kusafirisha kwenda mwanza, hivyo wenyeji wa tarime au wafanya biashara hiyo naomba wanisaidie...
Kwa wale wenye uhitaji wa perfume za set za kike na kiume zinapatikana kwa bei ya Tsh.60,000 na Tsh.70,000...
Set imekusanya perfumes 2 S/s na L/s na body lotion na shower gelly!
Wahi nipm ujipatie
Kwa wenye mahitaji ya mbao aina zote mnakaribishwa treated na sypras kwa bei nzuri toka mafinga bei ya cubic meter iko chini sana ukilinganisha na ukiuziwa hapa mjini njoo tufanye biashara Pamoja
Habarini ndugu,
Kichwa cha habari hapo juu chajieleza. Nahitaji maua ya aina mbalimbali na nyasi za kisasa nyembamba zenye umbo la bomba rangi kijani iliyokowa, hii ni kwa ajili ya bustani yenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.