Habari zenu wana JF napenda kupata maelezo kuhusu faida na hasara kwa mkulima ambae atatumia mbolea ya maji aina ya SuperGro shambani kwake. Nimejaribu kuomba details za hiyo mbolea kwa wauzaji...
Wadau naomba kwa yeyote anayejua mwenendo wa soko la ndizi ngumu/mzuzu mkoani mtwara kama vile bei kwa mkungu na mahitaji yake kwa ujumla hata changamoto pia.Plani ni kutoa ndizi mbinga kwenda...
Habarini wakuu.Mimi ni mfanyakazi ila napenda sana kujituma mwenyewe.katika maandalizi ya kujituma nimeanza na ufugaji wa kuku wa kienyeji.kwa kuanza nimeanza na vifaranga ishirini sasa vina miezi...
wakuu nataka kufungua stationery maeneo ya mabibo hostel,kwa wajuzi zaidi wa biashara ya aina hii je maeneo hayo yanaweza kulipa kweli?,tayari nini photocopy machine CANON IR 3300 yenye uwezo wa...
Habari wana JF
Naomba anaejua gharama za kutoa container la 20ft hapo Bongo anipe process
yote pamoja na charge zingine km zipo.
Container ni la nguo za mitumba.
Natanguliza heshima tele kwa wadau wote wa JF.
Jamani naomba mwenye majina ya Wataalam wa Mazingira kwa mwaka 2015 ayaweke wazi kwa manufaa ya umma.
Website (Tovuti) ya NEMC bado inaonesha majina...
Uvunaji wa asali kwenye misitu ya Urambo na Manyoni unaendelea vyema, kama unahitaji asali safi tuwasiliane . Ni asali nzuri inayoandaliwa katika mazingira ya usafi.
Habari ndugu wajasiriamali kupitia ufugaji wa kuku.
Nipo hapa kutaka kupata ufahamu zaidi juu ya kuku wa mayai kwa hoja zifuatazo:-
1.Nifuge kuku wapi kati ya kuku wa weusi wa Malawi au kuku...
Habari zenu wakuu, Mimi nipo Ushirombo Mkoani Geita , shida yangu ni vifaranga vya kuku wa mayai kwa ajili ya biashara na kwa matumizi ya nyumbani je ninaweza kuvipata na bei yake ikoje?
Habari wana JF. Ndoto zangu ni kumiliki Garage.
Ningependa kujua yafuatayo
1.Gharama za kuanzisha Garage.
2.Sehemu nzuri kwa shughuli hii inapaswa iweje???
3.Usimamizi wa Garage upo vipi? maana...
Wadau wa kilimo hebu tuseme tunataka nini itufanyie serikali ya awamu ya tano. ni matatizo gani itutatulie na mambo gani ituboreshee? Mimi binafsi nahitaji kilio changu cha kila siku hapa chini...
Habari wanajf, Green world International Limited Company inapenda kuwatangazia watu wote wanapenda kufanya ujasiliamali kwa kianzio cha 30000/= kama mtaji wako wa biashara na kuwa millionea wa...
Green World Limited Company, inapenda kuwatangazia watu wote kuwa tarehe 29/08/2015 Itaandaa seminar kubwa sana ya ujasiliamali BURE bila kiingilio chochote kile, na seminar hii itafanyika...
Habari ya muda wana JF
Napenda kuomba ushauri wenu juu ya hili swala hapa
Nataka kulima maeneo ya dar es salaam
Na kiasi Hapo juuu msaada ndugu zangu
Asanteni
Jamani ningependa kujua bei ya bero la mashati ya kichina kama linàvyojulikana kwa wafanya biashara ya mitumba kwa Dar, maana huku Songea niliko ni TZS 800,000/=..
Au kama kuna mtu analijua basi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.