Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

JF Prefixes:

Wakuu 3 mil naweza anzisha duka la jumla maeneo ya mbagala charambe? Msaada plz kwa wazoefu
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wapendwa. Naomba mchango wenu, kwa wale waungwana na wenye uelewa jinsi ya maisha yalivyo hivi sasa. Ni kijana nilie jiajiri kwenye fani ya ufugaji wa kuku wa kisasa na kienyeji, nina...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari za muda huu, poleni na majukumu Wadau ninaomba mnishauri, Mimi ni mfanyakazi katika kampuni ya watu binafsi, huwa ninakua free kila siku kuanzia saa kumi jioni, wkend huwa siendi kazini...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Napenda Kutumia Fursa Hii Kuwajuza Wale Wanaotaka "kujaribu" Ujasiriamali Kwamba Hiyo Ni Moja Kati Ya Wazazi Wa Matatizo Na Changamoto Lukuki! Ukitaka Kufanya Ujasiriamali Ufanye Tu Kwa Moyo...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Ajira sio salama tena kama ilivyokuwa zamani. Kwa sasa maisha yamekuwa ghali huku kipato cha ajira kikiwa hakitoshelezi. Hii inawafanya waajiriwa wengi kufikiria kuingia kwenye biashara. Lakini...
4 Reactions
17 Replies
10K Views
wadau mi nimeanza kufuga ng'ombe wa kisasa ila nashindwa kuelewa ni muda gani wa kupandishia ili wabebe mimba ndio sielewi
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani waungwana naomba kuuliza je, mayai ya kisasa naweza mpa kuku wa kienyeji alalie nipate vifaranga...??? Au mpaka kutotolesha kwa mashine...??? Au haiwezekani kabisa...???? Na kama...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habarini wanajamvi,natambua kuwa wapo watu wengi wanahela zao lakini hawana uhakika wawekeze kwenye kitu gani, Kama tunavyojua kwa dar es salaam Vyombo vya barabarani Kama pikipiki,Bajaji,Gari...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za Leo Wakuu, Husika na Somo Tajwa Hapo Juu, Nna Biashara yangu Ina Run ipo maeneo ya Tandika Magorofani Karibu na Chuo cha Bandari pamoja na Chuo cha Utalii pembeni Mwa Hospital mpya...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Any ideas please. Challenges pia. Mawasiliano: 0713 291 947
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hello wana JF, Nataka kufungua pub Dar Moshi na Arusha Naomba ideas kwa watalaaam please
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naomba msaada namna gani natakiwa kufanya ili nipate leseni baada ya kusakusajili kampuni brela
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari Wakuu,naomba Wale Wakulima Wa Nyanya Tukutane Whatsap 0762398199 tubadilishane mawazo, kupeana uzoefu wa masoko, magonjwa, changamoto na faida za nyanya.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
hello. namtafuta ndugu yangu anaitwa Selevesta anauzaga ng'ombe kutoka dodoma kupeleka dsm ,,yeye familia yake ipo dsm..kama unamjua nitatute 0685733122.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wazoefu, naomba mnisaidia jinsi ya kumkabidh mtu boda yako. Kuhusu mashahd, na namna ya kuhakksha boda yako inakua salam na huingii hasara endapo jamaa atapotea nayo
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mna mtaji wa tsh milion 4 je! nifanye biashara gan ambayo itaweza kuniendeshea maisha?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Unakaribishwa kuhudhuria semina kubwa na ya aina yake inayofanyika leo pale MUCCASA MAFIATI MBEYA MJINI. KARIBU UPATE MAARIFA KATIKA NYANJA TATU AFYA, UJASIRIAMALI NA MAISHA YENYE FURAHA. HAINA...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari zenu wadau. Natumai mu-wazima kabisa na mnaendelea vyema kabisa na ujenzi wa taifa letu pendwa la Tanzania. Kama mada husika inavyojieleza hapo juu, nahitaji msaada wenu wadau katika hii...
0 Reactions
34 Replies
8K Views
Nimeishi Ulaya yapata miaka 9 kwa sasa, nimefanya kazi mbalimbali mpaka mashambani kufuga na kulima, mkulima ulaya nika unavyomsikia baresa mengi na matajiri wengine bongo, asikudanganye mtu...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Natafuta soko la mayai ya kienyeji.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom