Wadau,
Ni salon ya standard ya kati. Ipo mahali pazuri kwenye movements za watu. Pia imeshafanya kazi kwa miaka miwili hivyo ina wateja na imeshazoeleka. Mwenyewe ni dogo langu lilikuwa linasoma...
Kwanza niwape hongera ambao tayari wameshafanikiwa kupata vitambulisho vya kupigia kura kwa nchi nzima na niwape pole kwa wale ambao bado hawajapata na pia nnawatia moyo kuendelea kuvifuatilia...
Mahitaji
Boksi, bakuli la maji, bulb, holder na themometer.
Jinsi ya kutengeneza
Toboa boksi mduara wa kutosha kufit bulb, weka mayai, bakuli la maji kwa ajili ya kutengeneza unyevu na mwisho...
Habari ndugu zangu,
Naomba kujuzwa kuhusu semina za amka na badilika ratiba take na je,zinamanufaa ya kuonekana au zinamsaada kwa sie tunaotaka kuanza ujasiriamali mdogo mdogo?
Nisaidieni please!
Habari!
Kwa wale waliowahi kusoma UDSM (Mlimani) miaka ya nyuma huenda wanamkumbuka huyu kijana "sharobaro" muuza karatasi ambaye inadaiwa ni "mnyalu" kutoka kule Iringa.
Alichokuwa anafanya ni...
Habari zenu Wanajamvi,
Kiukweli nimemaliza kutengeneza banda langu kwa ajili ya mfugo wa kuku wa nyama. Kwahivyo naomba kupewa maelekezo mazuri juu ya:-
1. Kifaranga mmoja ni sh ngapi ?
2. Wapi...
RIJK ZWAAN ni kampuni iliyobobea kwenye utengenezaji wa mbegu bora za mboga mboga. Kwa tanzania tuna matawi mawili Arusha (Q SEM na AFRISEM). Pia tuna tawi jipya Mwanza na sasa Bagamoyo. Kutoka...
Nina Pesa Ppf 5m Ila Kwasasa Sifanyi Kaz, Nilitaka Nichukue Mkopo Wa 2m Nmb Kwa Dhamana Ya Hela Ya Ppf Maana Ppf Mkataba Hatuja Katatisha Bado. Hv Inawezekana?
Salamu !nataka Nianzishe Kilimo Cha Umwagiliaji Maeneo Ya Wazi Na Pia Nilime Kwa Kutumia Green House.nimekutana Na Changamoto Ya Maji Na Nikaamua Nitafute Mbinu Ya Kua Na Kisima Kirefu Ili Kua Na...
Harini wadau wa JF,
Nina shamba ekari 50 zenye rutuba maeneo ya Jaribu Rufiji, mimi sina muda wa kufuatatilia/ au kuendeleza, natafuta mtu mwenye nia, mtaji wangu uwe ni shamba, yeye aendeleze...
Mimi ni kijana ambaye ninasoma chuo kikuu kwa sasa nilikuwa nahitaji mkopo wa Tsh 4ml kwa ajili ya mtaji wa biashara ambayo nimeibuni. Sasa tatizo sina kitu ambacho namiliki kwaajili ya kuviweka...
Nataka mtaji, mimi nina Diploma ya IT na ni mtaalamu sana kufunga CCTV Camera, kwahiyo nikipata mtu akiniwezesha nitashukuru au akinitafutia kazi ili nipate mtaji.