Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

JF Prefixes:

Amani iwe nanyi haya ni mambo machache niliyo jifunza humu jf: 1.Ni vema kuanza na mtaji mdogo kama huna uzoefu na bishara unayotaka kuianzisha. 2.Ili upate uzoefu unawezafanya kazi hata...
3 Reactions
15 Replies
4K Views
Zaa saa hizi ndugu zangu. Jipatie viatu Imara na kwa gharama nafuu vya ngozi kuanzia sh 25,000 mpaka 37,000 kwaajili yako na kwaajili ya mtoto wako au ndugu kwaajili ya shule. Ni viatu Imara na...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
‘‘If you are born poor its not your mistake, but if you die poor its your mistake’’~Bill Gates
0 Reactions
3 Replies
1K Views
EMTECH ni product kwa ajili ya kilimo na mifugo iliyogunduliwa nchini Japan. Ikafanyiwa utafiti na maprofesa wa kilimo wenye kampuni inayoitwa EMTECH Foundation Limited yenye makao yake makuu...
1 Reactions
0 Replies
4K Views
Nauza mayai ya kwale tray tsh. 10000 nipo dar es salaam. Mwenye kuhitaji naomba anipm.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nauza vifaranga Chotara vya malawi na vifaranga vya kware pia incubator, vitabu vya ufugaji, ufugaji wa nyuki wa kisasa, watoto wa samaki kwa ajili ya kupandikiza, mayai ya kutotolesha na mengine...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwema wakuu, samahani aisee, nilitaka kujua ni kwa nini Obama moja ya vitu vilivyomleta Kenya ni kuzungumza na wafanyabiashara, wawekezaji na wajasiriamali? Nadhani hata hapa kwetu Tanzania...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
habari wanajamii kwa wanaohitaji mayai ya kware yanapatikana kwa bei nafuu kabisa ya tshs 15,000 kwa trei For those in need of quail eggs, they are available at an affordable price of tshs...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Ninapesa za kikodi ekari tàno za ardhi bonde la ruvu darajani. Natàka nilimematikiti maji aina ya F1 Asali. Sasa mtaji wa kuendeshea mradi ni tatizo . Nàsikià kuna bank zinatoa mikopo midogo2...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wana jamvi ,navutiwa sana na biashara ya kusafirisha na kuingiza bidhaa tofauti ktuka nje na ndani ya nchi, ila shida yangu ni mtiiririko wa kuanza biashara hii, YAANI NIANZEJE KWA PALE NITAKAPO...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Wakuu habari za jioni????,Nimeshawahi kusikia Watu wengi wanaisifia mbegu ya Nyanya aina ya Rio Glande,Sasa mimi sijawahi kushuhudia kwa macho yangu kuona namna hizi Nyanya Zinavyozaa;Sasa kwa...
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Wakuu ninajishughulisha na ufugaji wa Bata Mzinga, Bata Maji, Bukini na Pukini, nina tenda ya ku supply vifaranga wengi kwa mwezi huu na mwezi wa tatu, naomba kama kuna mtu anayeweza kuniuzia...
0 Reactions
13 Replies
13K Views
Wandugu, kuna shamba nataka ninunue (50 acres) maeneo ya Msanga, Kisarawe Mkoa wa Pwani. Hilo shamba lina udongo mweusi, lipo bondeni. Nimechukua Sample ya Udongo na Maji kutoka katika shamba...
0 Reactions
12 Replies
8K Views
habar wakuu, kwa wanaoufaham vizur mkoa wa geita naomben msaada kuhusu hili,nina lak 5, pesa hiyo nahitaj kuifanyia biashara. sina uzoef wa biashara wara idea kuhusu nifanye...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
habari jamvini!mitetea yangu mitano baada ya Kuwanyang'anya mayai na kumpa kuku mmoja alalie hawa walio baki hawajataga tena sasa yapata wiki nne kasoro,inanichanganya sana,
0 Reactions
1 Replies
1K Views
elfu kumi kwa lita mawasiliano 0765076040
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hi wana jf,anae fahamu bei ya ukwaju iwe ni kwa debe ama kilo msaada tafadhali.
0 Reactions
2 Replies
5K Views
habari jamvini!mitetea yangu mitano baada ya Kuomintang'anya mayai na kumpa kuku mmoja alalie hawa walio baki hawajataga tena sasa yapata wiki nne kasoro,inanichanganya sana,
0 Reactions
0 Replies
2K Views
wadau, naombeni msaada kwa wale wenye uzoef na biashara ya mpsa.nikuwa nahtaj kufanya biashara hyo je inalipa vzur? na utaratbu wake ili kuanzisha biashara upo vp?
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wakuu, mwenye ujuz jinsi ya kutengeneza local screen za kuchapisha nembo,michoro kwenye nguo kama tshirt/batiki.
0 Reactions
6 Replies
13K Views
Back
Top Bottom