Kulingana na kichwa hapo juu.Kwa kifupi nina shamba lenye ukubwa wa ekari sita, shamba hilo limezungukwa na maji ya mto usiokauka kwa vipindi vyote vya mwaka. Eneo hilo hulimwa mbogamboga au...
Habari zenu!
Jamani mimi nina business idea, ambayo tayari nina kila kitu upande wa paperworks na marketing strategies, kwa maana kwamba nina uhakika kampuni itasimama. Shida ni kwamba sina...
Wadau Heshima kwenu,
Nina kisima chenye urefu wa ft 56 na kina maji mengi tu ya kutosha kwa matumizi yangu na hata kuwa na ziada.Kisima kimechimbwa mwaka 1999 mwishoni (November). Tangu...
Kwa maitaji yako ya vifaranga na mayai ya kware pamoja na kuku wa kienyeji tafadhali tuwasiliane, nipo Kirumba Wilaya ya Ilemela Mwanza.
No. 0753460642
Ndugu zangu wanaJF
Nina shamba langu nimejiandaa kwa kilimo biashara nimeishakusanya vifaa vyote vya kilimo
Shamba langu lina ukubwa wa ekari 4 nimeishapata drip irrigation za kutosha na vitu...
Wapendwa.nimepata changamoto kubwa sana na nimejawa imani kubwa sana baada ya kusoma kitabu hiki, nakuomba nawe ukisome kwa utaratibu mzuri bila haraka, soma kwa kutafakari uhalisi wa mambo kwa...
Ndugu zanguni wana JF
Kwa yeyote mwenye biashara ya mbao na anaiuza, mimi nanunua biashara hiyo na kuiendeleza, naomba nieleweke kwa wana JF kuwa sihitajimbao bali nahitaji biashara hiyo...
Habari wakuu na wadau wa safu hii
Nahitaji kujua na kujifunza kushona viatu vya kitamaduni yaani vinavyotumia material ya malighafi zetu
kama vile vitenge, nguo za kimasai nataka kujifunza namna...
I'm in dar for holiday visiting family and ave got tied of sitting g home doing nothing, so if you deal with poultry, rabbit and or vegetable farming and you are within dar , well I may be of...
Habari wana Jamii,
Ninamshukuru sana Mungu kwa kunijaalia kuiona tena siku mpya.
Watu wengi wanapopatwa na matatizo ya kifedha, jambo la kwanza hufikiria ni kwasababu wanapata mishahara midogo...
Mimi ni kija wa kiume, nipo Dareslam Msasani nimepewa mtaji wa milioni 5 ni familia niizungushe kwa masharti niwe natoa laki moja kila mwezi kwa ajili ya kuwasaidia wazee wawili ilikuwasaidia...
Kumezuka Biashara ya mayai ya kware hodi hodi mpaka maofisini Biashara hi ni sawa na DECI, ama Dollar jet kwa kifupi ni PYRAMID ni utapeli wa hali ya juu. Wajasiria mali wamekuwa wakibuni njia...