Oriflame inatoa kuongoza nafasi ya biashara kwa watu ambao wanataka kuanza kupata fedha kutoka siku moja na kufanya kazi kwa kutimiza ndoto zao binafsi na matarajio kwa dhana yake ya kipekee ya...
kuku wakubwa wa nyama wanauzwa maeneo ya kibamba, mzigo waweza shushwa popote mjini ... umri ni week 6 ....uzito ni kilo 1.5+ .... bei tshs 6,500/= kwa kuku mmoja
mwenye kuhitaji kununua...
Wanajf habari zebu nawaleteeni habari njema kwa wale wanaopatikana kanda ya ziwa kuwa tuna pokea order za vifarnga wa kuku wa kienyeji, chotara kienyeji, layers, broilers. Karibuni sana 0683111101
Habari wana JF, Naombeni msaada wa namna ya kuweza kinunua bidhaaa au kuuza kupitia njia ya mtandao mfano Electronics, Cars, Fashion, Collectibles, Coupons and More | eBay Amazon.com: Online...
Wapo vifaranga wa Kware - Out of Town Poultry Farm, umri wiki mbili bei TZS 3500 kwa kimoja, wasiliana nami +255785738738. Mayai pia yapo kwa TZS 18000 kwa tray ya mayai 30.
Habari zenu ndugu zangu,
Ninahitaji ng'ombe wadogo wa kisasa (chini ya mwaka 1 prefarably) kwa ajili ya kununua. Nipo Dar es Salaam, aliyenao naomba anipatie bei yake na yupo wapi. Kwa wale wa...
Habari... Wadau nisaidieni..nipate wapi ubuyu wa hivi huku Dar?! Kwa bei ya jumla. Ubuyu wenye ladha ya maembe niupate kila napoutaka. Msaada tafadhali.
Ninaomba msaada wa mawazo ya biashara nnayoweza kufanya na trekta.
Awali nilikua kwenye kilimo cha mpunga lakini nimeona hakinilipi na trekta lilikua linaharibika mara kwa mara na kunigharimu...
Wakuu,
Tunaweza kuzifahamu stable investments, ambapo mtu akihitaji kujiingiza katika uwekezaji huo atapata mafanikio makubwa zaidi baadae...
Akhasantenin.
Poultry farming is one of the most profitable type of farming.
Many have made millions from this venture.
I can help you to start & run this type of farming for FREE.
I walk with you in every step...
Haloo,
Nina mshahara mdogo sana pale ninapofanyia kazi nina mke pia, nafanya kazi from sa 7:00 to 5:30 jion, mshahara wangu ni laki mbili tu kwa mwezi, nifanye biashara gani japo nijikimu kidogo...
Tokea mambo ya ujasiriamali yameanza kupamba moto hapa Tanzania, kumekuwa na upotoshwaji mkubwa sana ambao umekuwa unafanyika kwenye elimu ya ujasiriamali. Upotoshwaji huu umekuwa unafanywa na...
tangazotangazo pikipiki ya miguu mitatu (maarufu kama bajaji)aina ya tvs king inauzwa.imetumika kwa mwaka 1 na miezi 3, iko katikahali nzuri.bei tsh 3,600,000 mazungumzo yapo. piga simu: 0755252263