Habari zenu wanaJF?!
Natamani sana kufanya biashara ya kutotoa na kuuza vifanga (kuku, bata, etc) na nawaombeni ushauri wenu. Namshukuru Mungu kwani mtaji wa kununua mashine (incubators na...
Habari wana JF natafuta partner wakushirikiana nae kuvuna miti ya mbao aina ya mbula pamoja na mkaa shamba lipo sumbawanga ni ekari 8000
kigezo kikuu uwe na mashine ya kukatia miti lengo hasa...
Mahindi yanauzwa kwa bei nafuu kwa gunia.Nimeona niwajuze wakuu,kwa maana huku msim huu mahindi ni kibao.Si mnaona hali ya kiangazi kwa sasa fanyeni fasta yasije yakaisha no yangu ni...
Habarini wajasiriamali. Mimi binafsi ni mfanyakazi na mkulima.
Ninalima vitunguu maji huko Mtandika mbele ya Aljazeera. Nafurahia kulima ingawa nakabiliana na changamoto lakini nashukuru Mungu...
Kwema wakuu naomba kupewa ujuzi wa kuandaa party event kwa mfano kumkodi msanii kwa ajili ya show ningeomba kupewa mchanganuo mzuri kuanzia kukodi ukumbi mpaka navoweza kupata faida thanks in advance
Sisi ni wafugaji wa kware wa mayai ambao hutaga wiki sita tu baada ya kuanguliwa na huendelea kutaga kila siku kwa miezi 30. Kwa mwaka hutaga wastani wa mayai 280 hadi 300. Tunauza vifaranga...
Jamani nimepata wazo la biashara ya kutengeneza mbege na kuuza hapa morogoro mjini, ningependa kuomba mwenye kujua changamoto zake na hata jinsi ya kusajili biashara hio, shukrani kwenu.
Nawapenda sana hawa viumbe,natamani nifuge angalau mmoja "as a pet",ni wanyama rafiki sana tofauti na watu wengi wanavyofikiri,kinachohitajika tu kuzifahamu tabia zao tu,ngozi ya mamba wa miaka...
Najiuliza endapo ukame ulio ikumba Califonia ukitokea huku kwetu itakuwaje? Make kuna Ukame wa kufa mtu ambao haujawahi tokea Calfonia na kila kitu kimesimama na hakuna kinacho fanyika
Kwa...
Habari za kazi wana JF. Mimi nina kuku wa kisasa takribani 300. Ni wale wekundu na ni wa mayai. Tangu mwezi huu wa sita uanze, kuku hao wameacha kutaga kabisa. Ni leo tu nimeokota yai moja na...
Ninafanya biashara ya kusaga na kukoboa Nafaka, Sembe Unga safi. Naam ofisi zangu zipo Mbagala Sabasaba. Nahitaji kwa haraka zaidi napatikana katika namba hizo hapo: 0657 740 797 |...
Wana JF kutokana na ukali wa maisha nimeamua kwa asilimia zote nijikite katika swala zima la kilimo cha matikiti maji.........ndugu zangu wapendwa naomba msaada wapi panafaa kwa kilimo hicho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.