Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

JF Prefixes:

UV Sterilize inatumia ku disinfect incubator incubator yako bila kuhitajika kuiizima au ku swtich off, nililetewa 10 hivyo kwa atakaye hitaji kuna 5 za ziada, hii inasaidia sana kuongeza...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Guys tunatengeneza biscut nzuri na crunch, zina taste na utamu kama wa eat sum more, nahitaji mtu wa kushirikiana nae kwa masoko, tushirikiane, au nimuajiri then tupeane perfomance target. Very...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wana Jf naomba nielekezwe vipomo vya ujenzi wa banda la kware kwa upana na urefu na idad ya kware nimevutiwa wa ufugaj huo hasa banda la gharofa kwan linasaidia kupunguza ukubwa wa eneo...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari, Kwa wale waliowahi kutumia mashine za kutotolesha vifaranga. Nimejaribu zaidi ya mara tatu kutotolesha vifaranga kwa kutumia mashine lakini matokeo yamekuwa ni asilimia 25 tu ya idadi ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari zenu wanajamvi. Jamani mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24 na nimebahatika kuajiliwa serikalini mshahara wangu sio chini ya laki 5 na wala haizidi laki 7. Mzee wangu alipata kununua...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jamani kwenye gazeti la SUNDAYNEWS MARCH 8, 2015 limeandika habari hizo kuhusiana na mayai ya kwale kwamba si tiba kama tulivyosikia wale wajuzi wa suala hili tafadhali tujuzane.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nilikuwa naomba ushauri wanajamii. Hawa kware unaweza kuwafuga kama kuku namaanisha mabanda yao maana nimeambiwa wanaruka kama ndege je naweza kuwafuga huria yaani banda na wakawawanatoka nje...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
[SIZE=3]Nipo Dodoma mjini nina Sungura wengi wa kuuza. Kwa anayehtaji anitafute kwa email. gmwidimya@gmail.com au number 0757176667 au 0652176066. ikiwe bei ya sungura dume nishilingi 25000 na...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Kwa wajasiriamali, natafuta mayai ya kaware kwa ajili ya kutotolesha. Nipo Mwanza. Msaada tafadhali
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Habari wadau wote, Nataka kufungua duka la kuuza madawa ya mifugo ila kwa sasa nataka niweke ya kuku kwanza,mtaji wangu ni mdogo kama 3M (milion tatu ),tayari nimeshalipia fremu.Garama ni...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wakuu, Naomba msaada wa kujua/kuielewa kampuni tajwa hapo juu(OLI FRAME) nirekebishe km nimekosea spelling. Nimekutana na muhusika wao mmoja jana na kunitaka nijiunge nao,ameniambia...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Poleni na majukumu wakuu, Nafuga Kuku wa nyama, lakini hadi kufikia Leo wana wiki ya nne maendeleo yao sio mazuri, kwa kifupi wamedumaa! Nilikuwa nawapatia chakula cha CPF lakini hawakui kama...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari wadau. Nina kuku wa kienyeji 30 sasa naomba kujua ni kuku wa aina gani ambao ni mahususi kwa nyama yenye quality ambayo ni mbegu kubwa, tamu,laini na isiyo na kamba ili niweze kumix na hawa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wadau? Naomba kujua Kuhusu: *Aina za mashine hizo *Bei zake *Upatikanaji wake(Mahali zinapopatikana) *Faida zake Mfano (kwa wiki mpaka mwaka) n.k n.k...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
mimi ni mjasiriamali np0 d0d0ma nahtaji marafiki wa biashara ya ufugaji wa kuku kwa kusaidiana zaidi asanteni nitafute kwa email;gmwidimya@gmail.com
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nimejifunza kitu kimoja, kama kila anayepata ushauri humu ndani na akatekeleza na kuleta mrejesho kama wafanyavyo baadhi ya watu wachache, basi ingezidi kujenga ari ya Ujasiriamali, ninaanza...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Zinauzwa no 0754568277
0 Reactions
1 Replies
813 Views
ndugu zangu naomba kwa mwenye ujuzi wa vitu hivi nataka kuanza biashara ya kuuza chostic au koni au ice - cream lakini cjajua kama huwa zinafaida naombeni mnijuze ndugu zanguni wenye uzoefu tafadhali.
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wana jukwaa mm ni kijana natamani kufanya biashara ila mtaji (capital) nilionao ni kama laki sita hivi, Je ni biashara gani nitakayoweza kuifanya?
0 Reactions
2 Replies
930 Views
Back
Top Bottom