Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

JF Prefixes:

Wajasiriamali mwenzenu nimekwama kidogo katika shughuli zangu kwahiyo kwa yoyote ambaye anaweza kuniazima au kunikopesha milioni 1.5 kwa masharti nafuu naomba tuwasiliane. MPE TAARIFA NA MWENZAKO...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Said to be the best place to dine & wine while in Morogoro. Located along Morogoro Hotel and Gymkhana Club Road. You are welcome to enjoy our services and you will not regreat
0 Reactions
0 Replies
2K Views
wakuuu, habari, naomba msaada kwa mtu yeyote anayejua jinsi ya kutengeneza rangi za kucha za mikono na miguu kwa wanawake, aniambie, unatumia marigafi gani, mchanganyiko wake, na mashine gani...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
TATIZO NI TAFSIR TULIZOZIBEBA TOKA KWA WAZAZI. Nikizungumza tafsiri nadhani unanielewa maisha yetu yako hapa yalipo kwa sababu ya tafsir tulizozibeba, hebu kumbuka mama yako alipokwambia tema...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Wana JF heshima mbele ; nafikiria kuingia kwenye biashara Ya malori makubwa Ya mchanga na kokoto! Naomba muongozo brand ipi Ni bora kwa sisi tunaoanza Kwa mitaji kidogo? DAF, Scania, Iveco , Man...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari Mwenye Oxygen/Acetylene torch (kuchomelea chuma kwa kutumia gesi) tuwasiliane kuna dili kubwa. Kifaa hiki hutumika na watu wanaochomelea vyuma vigumu kwa kutumia gesi. Kwa mwenye nacho...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Habari wana jamii. Natumaini kuwa ni wazima wa afya! Nilikuwa na matatizo nawaomba mnisaidie kwa wale wenye uelewa na mambo haya au wale walikuwa wanafanya biashara kama hii ya blog...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wandugu naomba tujuzane hili, Kama ni kuzaliwa wengine tusiingie kwenye vipaji vya watu, pia kama wanatengenezwa nasi tukajitengeneze.
0 Reactions
25 Replies
5K Views
kuna mashine zimenunuliwa ni zakituruk bt hazina manual book so nashindwa kuifanya vacuum inyonye maziwa kweny ng`ombe bt inawaka tu vacuum haifanyi kaz so kama mtu mwenye ujuz au namba ya mtu...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari yenu,Nina pesa tajwa hapo juu nifanye biashara gani kuiendeleza?
0 Reactions
34 Replies
5K Views
Wakuu naomba kujulishwa fursa za kibiashara zilizopo kahama ukiondoa mining industry.Naombeni mnishauri nifanye biashara ipi wakuu.
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Wanahitajika vijana watatu kwa ajiri ya kusambaza dagaa wa mwanza. wawe waaminifu na wenye nia. Kwa maelezo zaidi ni pm
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ufugaji wa kuku Tanzania kwa sasa umeshika kasi, watu wameelimishwa wakaufahamu ufugaji huo. Ufugaji wa kuku unaofanywa ni wa aina mbalimbali kuna wanaofuga kuku wa nyama broilers, kuku wa mayai...
5 Reactions
70 Replies
37K Views
Habarini wana JF, Tafadhali ninaomba nijuzwe jinsi ya kufuga kuku na kuweza kuwatotolesha aina/jinsia ninayoitaka,mfano kama nina kuku 50 na iwapo ninataka vifaranga vyote viwe majogoo tupu,je...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Ndugu wana Jf amani iwe nanyi.kwa mda mrefu nimesoma maandiko kadha wa kadha juu ya ufugaji wa kuku wa kienyeji humu Jf na nimehamasika.kwa kuanzia na kwa mazingira niliyopo nimeanza na kuku 50 wa...
2 Reactions
36 Replies
8K Views
Watu wengi hapa JF wamekuwa wakiomba ushauri wa namna ya kuanzisha au kuboresha shughuli mbali mbali za kiuchumi. Lakini watu wengi wanaomba ushauri ns wakisha upata huwa hawana kawaida ya kutupa...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Pole na majukumu ya kila siku, najtokeza kwenu kwa wataalam wa kilimo hasa kilimo cha tikiti maji(watermelon). Mm cna uzoefu na kilimo nimepata shamba Hecta1 maeneo ya ulongoni g/ mboto dar es...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
eti wadau yule master wa gym mara nying analipwa how much. na mwenye experience ya hii biashara anisaidie mchanganuo wake ikiwemo vifaa vinavyotakiwa na bei zake
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari zenu waheshimiwa, kwa kifupi naomba msaada kwa yeyote anaye fahamu ni viwanda gani kwa dar wananunua dagaa wa mwanza kwaajili ya kutengenezea chakula cha kuku, plz nisaidieni nataka kuanza...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
ni mara yng ya kwanza kupitia hili jukwaa na kupost , ila leo nimepitia post kadhaa humu ndani na kusoma comments, inshort me nna mtaji wa milion 30 , ila cjajua niufanyie biashara gani naomba...
0 Reactions
37 Replies
5K Views
Back
Top Bottom