Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

JF Prefixes:

Habari zenu wanaJF?! Natamani sana kufanya biashara ya kutotoa na kuuza vifanga (kuku, bata, etc) na nawaombeni ushauri wenu. Namshukuru Mungu kwani mtaji wa kununua mashine (incubators na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa atakae hitaji Asali mbichi toka tabora 12000 kwa lita
0 Reactions
5 Replies
3K Views
nahtaji kujua bei ya v2 hv vwil kwa ajiri ya kujiajiri natanguliza shukuran kwenu.
0 Reactions
10 Replies
38K Views
Habari wana JF natafuta partner wakushirikiana nae kuvuna miti ya mbao aina ya mbula pamoja na mkaa shamba lipo sumbawanga ni ekari 8000 kigezo kikuu uwe na mashine ya kukatia miti lengo hasa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Inauzwa IPO kwenye hali nzuri ni used wasiliana 0772783131
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mahindi yanauzwa kwa bei nafuu kwa gunia.Nimeona niwajuze wakuu,kwa maana huku msim huu mahindi ni kibao.Si mnaona hali ya kiangazi kwa sasa fanyeni fasta yasije yakaisha no yangu ni...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habarini wajasiriamali. Mimi binafsi ni mfanyakazi na mkulima. Ninalima vitunguu maji huko Mtandika mbele ya Aljazeera. Nafurahia kulima ingawa nakabiliana na changamoto lakini nashukuru Mungu...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Kwema wakuu naomba kupewa ujuzi wa kuandaa party event kwa mfano kumkodi msanii kwa ajili ya show ningeomba kupewa mchanganuo mzuri kuanzia kukodi ukumbi mpaka navoweza kupata faida thanks in advance
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Sisi ni wafugaji wa kware wa mayai ambao hutaga wiki sita tu baada ya kuanguliwa na huendelea kutaga kila siku kwa miezi 30. Kwa mwaka hutaga wastani wa mayai 280 hadi 300. Tunauza vifaranga...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni kwa ajili ya kilimo cha mbogamboga na matunda hasa bagamoyo, ruvu, mkuranga nk. Asanteni
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamani nimepata wazo la biashara ya kutengeneza mbege na kuuza hapa morogoro mjini, ningependa kuomba mwenye kujua changamoto zake na hata jinsi ya kusajili biashara hio, shukrani kwenu.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nawapenda sana hawa viumbe,natamani nifuge angalau mmoja "as a pet",ni wanyama rafiki sana tofauti na watu wengi wanavyofikiri,kinachohitajika tu kuzifahamu tabia zao tu,ngozi ya mamba wa miaka...
1 Reactions
19 Replies
5K Views
Najiuliza endapo ukame ulio ikumba Califonia ukitokea huku kwetu itakuwaje? Make kuna Ukame wa kufa mtu ambao haujawahi tokea Calfonia na kila kitu kimesimama na hakuna kinacho fanyika Kwa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari za kazi wana JF. Mimi nina kuku wa kisasa takribani 300. Ni wale wekundu na ni wa mayai. Tangu mwezi huu wa sita uanze, kuku hao wameacha kutaga kabisa. Ni leo tu nimeokota yai moja na...
1 Reactions
8 Replies
5K Views
WanaJF, Asubuhi nimesikia kelele kwenye banda la kuku, kucheki nikakuta kifaranga kimejinyoosha kinalia, miguu imenyooka vidole vimepinda, kinapumua haraka haraka na miguu inatetemeka sana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wanaJF, Naombeni kujulishwa namna ya kutengeneza mafuta ya nazi kwa anayejua.
0 Reactions
5 Replies
9K Views
Ninafanya biashara ya kusaga na kukoboa Nafaka, Sembe Unga safi. Naam ofisi zangu zipo Mbagala Sabasaba. Nahitaji kwa haraka zaidi napatikana katika namba hizo hapo: 0657 740 797 |...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Je, Kuku wa kienyeji anaweza kutamia Mayai 30 na kuangua yote?
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Mamboz! Nataka kuja/kwenda Namtumbo kutafuta maisha! Tafadhalin wenyej wa huko nahitaj muongozo wenu! Biashara gan ina soko zuri huko?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana JF kutokana na ukali wa maisha nimeamua kwa asilimia zote nijikite katika swala zima la kilimo cha matikiti maji.........ndugu zangu wapendwa naomba msaada wapi panafaa kwa kilimo hicho...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…