Wajasiriamali mwenzenu nimekwama kidogo katika shughuli zangu kwahiyo kwa yoyote ambaye anaweza kuniazima au kunikopesha milioni 1.5 kwa masharti nafuu naomba tuwasiliane. MPE TAARIFA NA MWENZAKO...
Said to be the best place to dine & wine while in Morogoro. Located along Morogoro Hotel and Gymkhana Club Road. You are welcome to enjoy our services and you will not regreat
wakuuu, habari, naomba msaada kwa mtu yeyote anayejua jinsi ya kutengeneza rangi za kucha za mikono na miguu kwa wanawake, aniambie, unatumia marigafi gani, mchanganyiko wake, na mashine gani...
TATIZO NI TAFSIR TULIZOZIBEBA TOKA KWA WAZAZI.
Nikizungumza tafsiri nadhani unanielewa maisha yetu yako hapa yalipo kwa sababu ya tafsir tulizozibeba, hebu kumbuka mama yako alipokwambia tema...
Wana JF heshima mbele ; nafikiria kuingia kwenye biashara Ya malori makubwa Ya mchanga na kokoto! Naomba muongozo brand ipi Ni bora kwa sisi tunaoanza Kwa mitaji kidogo? DAF, Scania, Iveco , Man...
Habari
Mwenye Oxygen/Acetylene torch (kuchomelea chuma kwa kutumia gesi) tuwasiliane kuna dili kubwa. Kifaa hiki hutumika na watu wanaochomelea vyuma vigumu kwa kutumia gesi. Kwa mwenye nacho...
Habari wana jamii. Natumaini kuwa ni wazima wa afya!
Nilikuwa na matatizo nawaomba mnisaidie kwa wale wenye uelewa na mambo haya au wale walikuwa wanafanya biashara kama hii ya blog...
kuna mashine zimenunuliwa ni zakituruk bt hazina manual book so nashindwa kuifanya vacuum inyonye maziwa kweny ng`ombe bt inawaka tu vacuum haifanyi kaz so kama mtu mwenye ujuz au namba ya mtu...
Ufugaji wa kuku Tanzania kwa sasa umeshika kasi, watu wameelimishwa wakaufahamu ufugaji huo. Ufugaji wa kuku unaofanywa ni wa aina mbalimbali kuna wanaofuga kuku wa nyama broilers, kuku wa mayai...
Habarini wana JF,
Tafadhali ninaomba nijuzwe jinsi ya kufuga kuku na kuweza kuwatotolesha aina/jinsia ninayoitaka,mfano kama nina kuku 50 na iwapo ninataka vifaranga vyote viwe majogoo tupu,je...
Ndugu wana Jf amani iwe nanyi.kwa mda mrefu nimesoma maandiko kadha wa kadha juu ya ufugaji wa kuku wa kienyeji humu Jf na nimehamasika.kwa kuanzia na kwa mazingira niliyopo nimeanza na kuku 50 wa...
Watu wengi hapa JF wamekuwa wakiomba ushauri wa namna ya kuanzisha au kuboresha shughuli mbali mbali za kiuchumi. Lakini watu wengi wanaomba ushauri ns wakisha upata huwa hawana kawaida ya kutupa...
Pole na majukumu ya kila siku, najtokeza kwenu kwa wataalam wa kilimo hasa kilimo cha tikiti maji(watermelon). Mm cna uzoefu na kilimo nimepata shamba
Hecta1 maeneo ya ulongoni g/ mboto dar es...
eti wadau yule master wa gym mara nying analipwa how much.
na mwenye experience ya hii biashara anisaidie mchanganuo wake ikiwemo vifaa vinavyotakiwa na bei zake
Habari zenu waheshimiwa, kwa kifupi naomba msaada kwa yeyote anaye fahamu ni viwanda gani kwa dar wananunua dagaa wa mwanza kwaajili ya kutengenezea chakula cha kuku, plz nisaidieni nataka kuanza...
ni mara yng ya kwanza kupitia hili jukwaa na kupost , ila leo nimepitia post kadhaa humu ndani na kusoma comments, inshort me nna mtaji wa milion 30 , ila cjajua niufanyie biashara gani naomba...