Habari wana JF, naishi dar, nilikuwa nina mpango wa kuanzisha biashara ndogondogo.
Nilikuwa nahitaji kijana yeyote aliye Tayari tushirikiane pamoja katika hili.
Tutagawana Faida sawa na...
Ndugu ,mimi ni mfugaji wa kuku kwa muda nimekuwa nikiuza wakiwa wazima.
kwa sasa nataka niongeze thamani ya kuku wangu nifungashe, niweke label, na kuuza. nzifahamu hatua zote za kupitia...
Habari ya asubuhi wapendwa wote,naamin mmeamka salama kabisa....nko na jambo hapa naomba msaada toka kwenu ktk kuplaniwa ni biashara gan nifanye kulingana na mtaji wangu nlionao na eneo nalo...
Kwa wale wanaohitaji "fresh Strawberry", carrots, vitunguu na viazi kwa bei ya jumla na rejareja tutafutane kwa 0713769013 au 0765452928 kama tigo haopatikani. Napatikana Moro na Dar
Heshima kwenu wadau.
Nina banda ambalo urefu ni mita 10 na upana ni mita 3.Malengo yangu ni kufuga kuku wa kienyeji 250 wa mayai nikitarget kupata at least tray 7 per day.
Swali,1:je ukubwa wa...
Kwa muda mrefu nimekuwa nikifuga kuku wa kienyeji kwa ajili ya chakula na wakati mwengine nafanya biashara.
Ni kipindi sasa toka niachane na kuuza kuku na badala yake nauza mayai na nimegundua...
Wakuu wa JF hasa MR. MLILA
Nataka kuanzisha kilimo kikubwa cha alizeti, kutokana na soko lake kuwa la juu sana hapa nchini nimeona ni muda muafaka nijikite huko na sitakuwa hapa mjini kwa muda...
Habari wanaJF!
Natafuta jiko la kukodi kwa ajili ya biashara ya chips maeneo ya Dar es salaam. Aliye na jiko au aliyesikia kuna mahali jiko la kukodi ani-PM..
Habari wana JF. Naombeni anayejua wanunuzi wa kuku wa nyama (broiler chickens) wanaonunua kiasi kikubwa kama kuku 1000 kwa wiki anijulishe tafadhali. Nafugia Kibaha kwa Matias. Asanteni sana.
Natanguliza shukrani zangu kwa wajasiriamali wote
Naomba msaada wa kimawazo Kwa mtaji wa M1 kwa Mwanza naweza fanya biashara gani??
Ntashukuru sana kwa mawazo yote ntakayopokea toka kwenu
Natafuta greenhouse ya bei nzuri. Naomba mwenye kujua wapi naweza kuipata anijuze. Nahitaje iwe complete system ikiwa na drip irrigation system yake. Size kuanzia 8mx15m.Ahsante.
Jamani naomba yeyote anayekodisha chumba cha biashara Dar kilichopo sehemu nzuri ani PM tuwasiliane, hata kama ulisikia kipo sehemu plz help me. Ahsante.
Habari wana jamvi, mimi ni mjasiliamali nimeanza kutengeneza mabanda kwa ajili ya ufugaji wa nguruwe naomba kujuzwa kama naweza kupata vifaranga vya nguruwe maeneo tajwa hapo juu. hata kama...
HABARI WANANCHI WENZANGU...
JF ndio kimbilio langu,naam nahitaji kufahamu biashara hizi mbili ili nami nianze kidogokidogo nitashukuru kama nitasaidiwa tafadhalini| nahitaji kufahamu kuhusu hizi...
Wafugaji oyeee
Vifaranga kienyeji/chotara wanapatikana (cross ya red rhode Ireland &kuchi )
Vifaranga kwa oda
1-3day old chick 2000
Tunapatikana mbezi mwisho (Mbezi ya kimara)...
Habari wajasiriamali..... mimi Ni mfugaji ninayejifunza kuwa mfugaji bora... kuna kuku nimemkuta anatoa machozi na anavitu vyeupe machoni... nimejaribu kumsafisha na maji ya vuguvugu na chumvi...