Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

JF Prefixes:

Habari zenu wakuu,Naomba kwa aliye na mawasiliano na yeyote mwenye uwezo wa kutengeneza sabuni za mche kwenye maumbo tofauti anipe contacts zake maana nahitaji sabuni za kuogea za mche. Shukrani
0 Reactions
11 Replies
4K Views
  • Closed
Habari. Wiki iliyopita nilitangaza humu JF kuwa nauza moja ya mashine zangu za kutengeneza mkaa wa kisasa sababu ikiwa ni kuongeza mashine kubwa kwa ajili ya kuongeza uzalishaji. Baada ya siku...
6 Reactions
390 Replies
75K Views
Wakuu ni miezi iliyopita iliyopita tuliona threads za kutosha kuhusiana na kilimo cha greenhouse,Ningependa wale members ambao walijaribu kilimo hiki watupe mrejesho walipofikia ila na sisi...
2 Reactions
17 Replies
5K Views
Wakuu kwa muda sasa limekuwa lina nijia wazo la kufanya biashara ya kubadilisha fedha za kigeni kwa kucheza na rates za maduka ya kubadilishia fedha na mabank Sina maana ya kuanzisha Bureau De...
1 Reactions
22 Replies
24K Views
Ni wakati wa kujikomboa kiuchumi. Napenda kuanzisha ufugaji wa biashara. Ahsanteni kwa mawazo
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu wana janvi, Shida yangu kubwa ni kutaka kujua/kufahamu upatikanaji wa shamba la kukodi hasa kwenye mikoa inayolimwa zao la shairi pia utaratibu unaofanywa na kampuni mbili...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau, kuna mtu anatafuta shamba lenye ukubwa kuanzia eka 500 hadi 1000 mikoa ya Morogoro, Dodoma na Singida kwa ajili ya kilimo kikubwa cha nafaka hasa mahindi. Liwe maeneo yasiyokuwa na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
BY DINFIN MULUPI | ENTREPRENEUR WATCH, FEATURE ARTICLES, ICT, TANZANIA | Nadeem Juma established an international school ten years ago at the age of just 19, and is the co-founder...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Natafuta mtu wa kunifanyia mentoring or coaching katka harakati zangu za kuanzisha pre-primary school and hatimaye primary school. Ataifanya kazi hiyo tangu naanza mradi hadi tuhakikishe mradi...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa anaye hitaji fertilized eggs za KARI basi tuwasiliane, Arusha na bei ni Tsh 30,000/ per trai na minimum ni Trai 5, ni fresh eggs za KARI F1. Chasha Arusha-0767-691071/0783691072
1 Reactions
17 Replies
8K Views
wasalaam. kuna eneo la biashara ya viazi au chips linapangishwa kwa bei nzuri eneo la kimara mwisho kwa kodi ya tsh elfu 90 tu kwa kila mwezi na pia vifaa vyote vya biashara hiyo navyo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF habari za Weekend na J3 hii. Wiki iliyopita nilikutana na biashara moja ambao sikuilewa vizuri. Biashara hiyo ni ya Forever Living Products kutokana na mmea wa Alovera. Hebu...
1 Reactions
13 Replies
11K Views
Wanajamvi nimekutana na Tangazo la Social Credit & Loan Cooperative kwamba wanatoa mikopo kwa masharti nafuu na wanasema haina riba. Naomba anayejua kuhusu hii atujuze ili tuweze kuchangamkia fursa.
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Habari wajasiriamali wenzangu na wanajf kwa ujumla. Mimi niko Dodoma chamwino naomba kuuliza je Dodoma kuna mtu yeyote ambaye anajishughulisha na utotoleshaji wa vifaranga wa kuku wa kienyeji...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Pia ningefurahi kupata mrejesho wako (feedback) juu ya uzi ninazotoa ili nijue pia kama jamii na mlengwa ninaemtegemea amepata elimu unaohitajika,kwa kuacha komenti yako hapo chini kwenye sehemu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nipo mwanza, Nakalibia kustaafu kazi kama miezi 3 ijayo , naomba ushauri ni biashara ipi nifanye mtaji nilionao ni millioni moja Naomba ushauri wenu wana ujasliamali hapa jamii forums
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau hili swala mnalioneje? Huwa napenda sana ku analyse biashara tofauti kila mahali niendapo, kuna swala linanishangaza mara nyingi. Unakuta kuna sehemu mbili ziko eneo moja lakini mmoja...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
1.Funguka Project 2.Mabadiliko Project 3.Tunaweza Project 4. Mshike Mwenzako Project 5.Tumebadilika Project Nakalibisha mawazo yenu wanajukwaa
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Mimi ni mjasiriamali toka tunduru natamani kufaham je asali ina soko kiasi gani then ni vigezo vp vinapaswa kufuatwa ili kufanya biashara ya asali kisheria.. naamin wadau mtanisaidia ktk hili...
1 Reactions
3 Replies
8K Views
Name: Lily's Company Limited Established: 1991 Main Office: Swahili Street Branches: Dar es salaam & Tanga For more details call/email the company's managing director. Phone...
0 Reactions
0 Replies
714 Views
Back
Top Bottom