Kwa mahitaji ya huduma za uandishi juu ya maswala ya research proposal, research dissertation, data analysis, Project proposal write up, Environment management and Rural livelihood education...
Kuna mtu amependekeza kuanza biashara kwa sh 5000, kama kawaida waungawana humu jf wamedai apeleke huo uzi wake joke forum. Lakini mie nna mtazamo tofauti hapa. Kwamba bado hiyo elfu tano inaweza...
Wana Jukwaa Salaam.
Nina shida ya dharula na ya haraka sana ya Tsh. Ml. 20. Kuna project yangu moja imekwama na inahitaji pesa ya haraka sana. Nitarudisha ndani ya siku 30 kutoka siku...
Mwenye ufahamu juu ya hiyo miparachichi naomba anijuze kwani nipo Wilayani Kilolo-Iringa,ni eneo lenye mvua nyingi za masika,joto la wastani,udongo wake ni mgumu na ni kama mwekundumwekundu,je,kwa...
Hello every1,
Nauza huyu mbwa wa kike aina ya Rottweiler.Nilimnunua kutoka Kenya na kumfundisha "basic obedience" pamoja na guard instincts kumanisha anaskia ukimwambia sit,down,come,leave...
wakuu heshima kwenu,
Nimekuwa nahangaikia kupata habari au msaada wa mawazo kutoka sehemu mbalimbali nafikiri na hapa jamvini lazima kuna msaada mkubwa wa mchango naweza kupata kwani naamini hapa...
Asalaam wakuu,,mimi ni mwalimu niko tabora vijijini ,nataka kupata mkopo ,itakua nmb sababu ndo akaunti ninayotumia kazini,,process ni zipi na itachukua muda gani?,,,
Wadau humu kuna watu wanajiita ni wakulima wa viazi, vitunguu, nyanya, tikiti nk mradi yumo tu naye..
Anafikia wakati anasema um pm... Ili aku add group Fulani labda vitunguu nk....
Uki mp...
Habari zenu wadau,
Swala la ajira limeshakua msala,
Mi nilikua naomba kama tunaweza tukajiunga watu wasiozidi kumi kwanza na kuanzisha magazine yetu ambayo itakua imejaa madini (points) na hata...
Habari wajasiriamali mwenzangu,
Pata kuku wenye zaidi ya Kilo 3 kwa TZS 13000 tu,ni Retired Parent Stock katika species ya Arbor Acer.
Wametuzwa kisasa kabisa,kama utahitaji maelezo zaidi...
Habari wakuu?, mimi nina kiwanja kipo iringa mjini na tayari nimejenga msingi nahitaji kujulishwa kama naweza kukitumia kupata mkopo wa milioni 3 na ninauwezo wa kurudisha laki moja(100,000) kwa...
jamani nina mshahara wa laki mbili tu, na ninamke na mtoto mmoja,hivyo naiona ni pesa ndogo sana make ndo naitegemea kula kuvaa na kila kitu,so nifanye nn ili niweze kujikizi vizuri na kufanya...
Bidhaa zote hizo zilizotajwa apo juu zinapatikana kwa bei poa tu ! laptop zipo dell latitude , hard disk gb 500, ram gb 4, procesor ni core i5, zina web camera, wireless, hdmi na bado zipo kwenye...
jamani natafuta watu wenye shida na kuku wa kienyeji kutoka nauza kwa bei nafuu sana kuku,jogoo mmoja ni shilingi 12000 na tetea shilingi 10000,nipo mbeya ni kuku kutoka malawi.napokea order...
Mohammed Dewji, CEO MeTL Group.
Mo Magic: A Week With Mohammed Dewji, Tanzanias Wealthiest ManBy Uzodinma Iweala
Mohammed Dewji is the third generation of a family of successful Tanzanian...
Kwa wale wanaopenda kuanza kuifanya biashara ya nguo za mitumba au hata kwa wale ambao wanaendelea nayo,napenda kuwatangazia kwamba napokea order ya idadi ya nguo yoyote ile na tunakusafirishia...
Ndugu wadau naitaji mkopo wa laki tatu maAna nina line ya tigo pesa naitaji kuweka mtaji ktk line hiyo tafadhalini mnisaidie mtaji huo then ndani ya mwezi mmoja nakurudishia with negotiable...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.