Nilitaka kujua kampuni gani ya chakula cha mifugo hususani kuku kwa sasa kina soko zaidi. Nimesikia kampuni za Hill, Falcon, n.k. Naweza pata mawasiliano yoyote?
heshima kwenu wadau
kama heading inavyojieleza,nahitaji kufanya ujasiliamili huo tajwa. anaejua kuhusu mahitaji,hatua na taratibu za kufuata atuelimishe ili tuanze kujiajiri mapema maana huu...
Salaam kwa Wote humu! Nahitaji kujifunza Ufugaji Bora wa Kuku na mifugo mengne kwa kuona jinsi wengne walivyotengeneza Mazingira mazr na Jinsi wanavyofanya au kuendesha ufugaji vzr. Msaada...
Katika pitapita zangu mitaani, nimegundua kuwa kuna uhitaji mkubwa kwa bidhaa ndogo ndogo kama Ice cream, koni, bisi, bites, vinywaji baridi etc etc.
Kutokana na hilo, ninataka kama itawezekana...
Naombeni msaada wenu wataalam wa biashara kuhusu upangaji wa bei za bidhaa na huduma. Mimi ninataka kufanya biashara ambayo inahusiana nambo ya IT. Ninaomba msaada kwa yeyote mwenye ufahamu au...
Habari jamani;
Naomba msaada wa haraka kuku wangu jogoo wa Malawi anaumwa mafua hadi namuonea huruma yamembana kiasi cha kukoroma na kuziba mdomo, sijampatia dawa yeyote naomba mnisaidie aina ya...
Wakuu, napenda sana ufugaji kwa sababu ninajua unaweza kunitoa. Nimejaribu kufuga kama 300 kutoka kampuni fulani lakini hawatagi vizuri. Wana miezi saba na zaidi kidogo lakini napata trei 4 tu kwa...
Heshima kwenu GT na imani huku kuna watu wa kada na nafasi mbalimbali katika taasisi za umma na binafsi na hata pia wale wajasiriamali.
Sisi tupo wawili ambao tunailiki kampuni ambayo...
Kama mwanzo wa makala ya hivi punde ya African Dream,mwanabiashara Mercy Kitomari-ambaye alianzisha kampuni ya kutengeza aiskrimu hai ya Nelwa's Gelato-anaeleza mbinu kumi bora anazotumia katika...
Heshima kwenu GT na imani huku kuna watu wa kada na nafasi mbalimbali katika taasisi za umma na binafsi na hata pia wale wajasiriamali.
Sisi tupo wawili ambao tunailiki kampuni ambayo imesajiliwa...
Karibuni sana tufanye biashara;asali ya nyuki wakubwa dumu la lita 20 nauza 120000/= ;asali ya nyuki wadogo dumu la lita 5 nauza 75000; niko Makambako - Njombe; kama unahitaji mzigo nitafute kwa...
mimi ni kijan anina umri wa miaka 22 nina kiasi hicho cha pesa mkononi naombeni kuuliza nifany biashara gani ili pesa yangu izalishe elimu yang ni diploma ya IT pia nina nina computer 2 zeny spesc...
Habari wana JF,
Nakuja mbele zenu kuomba ushauri kwenu, ushauri wenu uzingatie mambo yafuatayo.
CAPITAL/LOAN:
Nimeamua kuchukua Loan ya 30M bank flani na nyumba yangu nimeamua kuweka rehani...
We provide efficent software solutions, easy to use,scalable enough to take your business next level.
View our portfolio Olcomlabs (T) - Software Development | Mobile Development Tanzania, Data...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.