Habari Wakuu
Nataka kufungua kampuni ya usafi, ambayo itakuwa inafanya usafi katika maofisi, manispaa, mashuleni, majengo ya biashara nk. Naomba mwenye details za kutosha za jinsi ya kusajiri...
Mimi ni mwalimu wa shule ya msingi mbungani mwanza nina kiasi cha shilingi laki nne na nusu sasa naomba wana JF mnipe mawazo kitu hata kama ni chA kawaida nawezaje zalisha na kuanzisha kibiashara...
Am a man with troubleshooting ideas. self independent may am is to open my on business but until now i have just bought printer and computer ready to open a stationary to start with but i have...
Habari wanajukwaa;
Naomba kujuzwa wapi naweza kupata kitambaa kama cha mpira niweze kushona sketi kwa ajili ya sketi fupi (penseli).
Maana nataka nibuni sketi nikajaribu kufanya biashara. Naskia...
Haya haya jamani yule bingwa wa masuala ya ufugaji, uuzaji na usambazaji wa kuku wa kisasa, ninauza kuku. Kwa wale wa tenda za maharusi, watu wa bar, watu wa sokoni, na kadhalika.
Kwa...
Habari wadau?
Miye ni mjasiriamali mfugaji wa kuku wa kienyeji + chotara, kanga pamoja na bata mzinga, shughuli yenye takribani zaidi ya mwaka sasa, changamoto nayokabiliana nayo saizi ni...
halo wandugu, baada ya kupitia makala nyingi nimeona na mii naweza kuanza ufugaji wa kuku wa kienyeji na kisasa
nimeplan kujenga mabanda mawili ya urefu wa futi 20 na upana wa futi 16. moja kwa...
Ndugu wajasiriamali wenzangu nataka kuanza kilimo cha umwagiliaji maeneo ya mto Ruvu. Kwahiyo napenda kufahamu kwa wazoefu ni mazao gani yenye soko la uhakika jamii ya mboga mboga na matunda...
Namini msemo usemao kidole kimoja hakivunji chawa. Na umoja ni nguvu. Mm ni mfugaji wa kuku wa kienyeji, nina ujuzi na uzoefu wa eneo hili. Nipo nje kidogo ya dar kilwa road. Tayari nimesha andaa...
Mimi ni mkulima hapa Dodoma sehem ninahitaji pikipik ya kuhimili milima na makorongo makubwa yenye mchanga kwa ajili y kutembelea mashamba yangu.
napendelea aina zufuatazo za pikpik
baja 250...
Ninayo nyumba Magomeni Dar, Je vipi ninaweza kuzitumia Bank kujenga Ghorofa Ambayo ikodishwe na kulipa Bank ? Naomba michango yenu wadau. Ahsante Sana.
Nimepata ujumbe huu kwenye simu yangu. Je hawa wapo kweli?
Nukuu:
RED EDGE SACCOS LTD inatoa mikopo ya Ada, Pango la nyumba bila ya dhamana. Pia Bajaj, Pikipiki, Solar power, Fedha na...
Kwa mara ya kwanza nimeweza nunua shamba langu ekari kumi Kiwangwa. Kwa kweli nimefurahi sana. Ila sasa wanajamvi nishaurini nifanye nini nilime nini Kiwangwa Mamboela.
Nimeona mashamba makubwa...
wadau,
kuna kampuni au watanzania wanaoshughulika na uletaji/usafirishaji wa mizigo toka USA? gharama zao zipoje? kama kuna watu wameshwatumia, experience yao ipoje?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.