salam kwenu wanajamnvi..!!!
Wadau naomba msaada wenu kwa yeyote anayejua ni wapi zinapatikana mabalo/marobota mazuri ya nguo mixer za watoto kuanzia O-5 ya grade ya kati na pia naomba kwa...
Wadau kuna kiwanja kizuri katika eneo la Bunju kata ya Mabwepande (Manispaa ya Kinondoni-Dar es Salaam) karibu na eneo maarufu la Manzese ambapo kuna huduma zote za msingi kama vile:
- Maduka...
Hivi ni kwel kilimo cha bustani kinaweza kumtoa Mtanzania katika umaskini?? Ni juhud gani zinafanywa na serikali kumkomboa mtanzania anaejishughulisha na kilimo biashara????
Wana JF
Mkoa wa Kigoma ni moja ya mikoa ambayo maendeleo ya kielimu bado yako chini sana (kuna vyuo viwili tu vya ualimu na hakuna shule nyingi - hata zilizopo ufanisi wake ni mdogo ukilinganisha...
Mtoto wa kaka yangu alifeli kidato cha 4. Nataka nimfungulie ofisi. Je, kati ya saluni ya kiume na biashara ya mitumba ipi inalipa vizuri? Kiasi ninachotaka kumpa ni Tsh 3,000,000/. Na kama...
Nataka nianze kufyatua tofari kwa biashara. Naomba msaada wa gharama za mashine.za umeme na manual. maeneo muhimu kwa mradi kama huo
Natanguliza shukurani zangu za dhati.
VITABU VIFUATAVYO VYENYE KANUNI (FORMULATIONS) ZA UTENGENEZAJI WA BIDHAA MBALI MBALI VINAPATIKANA KAMA SOFT COPIES YAANI WAKATI WA KULIPIA KITABU HUSIKA UNATUMA PIA EMAIL ADDRESS NA KUTUMIWA...
U.S Grains Council watakuwa na mafunzo kwa watengenezaji wa chakula cha kuku kwa kutumia Soya ,
Mafunzo haya ni kwa wale wanaotengeneza vyakula vya kuku au wanaotarajia kutengeneza chakula cha...
Jamani wana Jamii, naombeni ushauri wenu kwa aliye na elimu ya biashara mtaji wa ml.14 unaweza kuanzishia biashara ya magauni ya harusi kuyatoa nchini China na kuleta hapa Tanzania?
Heshima kwenu wadau
kijana wenu katika kuangalia fulsa nikapata wazo la kufuga mbuzi kwa sababu
1.eneo nililopo mbuzi wanapatikana kwa bei ya kawaida bei ambayo uyo mbuzi ukimpeleka umbali wa...
SUPER GRO
*********************
Super gro ni bidhaa ya mimea.
kazi zake:
-inatunza unyevunyevu
-inaimarisha mmea
-inaongeza mavuno yani uzito,wingi na ukubwa
-haibagui mmea
-inafanya kazi...
WanaJF,
Kutokana na hali halisi ya biashara nchini Tanzania kuwa tete, nimefikiria na kuamua kuwekeza kwenye sekta ya Kilimo cha Nafaka na Mafuta.
Tayari nimepata sehemu za kuanzia kama Kilosa...
Kwa yeyote ambaye ambae amenunua trekta(massey )au anafahamu taratibu za kuingiza Tanzania anishirikishe..Nimejipanga kununua trekta uingereza--nataka kupanua kilimo changu
Wana jf,
Kwa wale wanaohitaji nguruwe wa mbegu na nyama:
1.nna nguruwe zaidi ya 10 wanaofaa kuchinjwa kwa kitoweo
2.nnao madume wa miezi 7-8 ambao wanafaa kwa mbegu au nyama
2.wapo pia majike...
Habari wapendwa.
Kwa yeyote mwenye uelewa kuhusu hili,
Nina vimizigo (parcels/boxes) ambavyo nataka kuvituma from DAR to Nairobi Kenya. Njia ipi ya utumaji ni cheaper? na gharama zao zikoje...
Wapendwa naomba kujua kutoka kwa wale watalaamu wa uchimbaji wa visima vya maji. Ni mashine ya aina gani yenye uwezo wa kudumu katika mazingira tuliyopo I mean Tanzania?
Ninahitaji yenye uwezo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.