Habari wakuu,
Nafikiria kuanzisha biashara ya kuuza magodoro ya kutengenezea sofa sets n.k yasiyo na cover ...nimetarget eneo la keko hapa Dsm...naomba input mbili tatu kwa wenye uzoefu na hii...
nina mambo nataka kusaidiwa kuhusu ufugaji wa kuku wa kienyeji.
1.Kuku wangu wanataga mahali pamoja,je hawatanisumbua wakitaka kuatamia?
2.Nipeni uwiano wa Majogoo wangapi kwa majike,alafu mbona...
napenda kuwashukuru wale wote walioweza kuniunga mkono kwa namna moja au nyingine juu ya Mashati ninayotengeneza kwa vitenge,Mungu awabariki!bado naendelea kupokea order mbalimbali na wengine...
Kuku anapo timiza mwaka mmoja tangu aanze kutaga, Utagaji huanza kushuka taratibu mpaka kufikia mwisho, na hapa kwa mfugaji alioko siriasi atakuwa na batch za kuku wa kuleplace kila baada ya Miezi...
Wakuu naombeni msaada wenu, ivi hii biashara ikoje? Namaanisha katika sekta zifuatazo;
1. Upatikanaje wake. Kwa waliofika Tabora na wenye ufahamu wa biashara hii ,je inapatikana kwa bei kiasi...
Habari zenu
Nataka kufanya biashara ya maini ya Tanzaniate hasa hasa yale yanayojulikana maarufu kama dizeli. Je bei yake inakuwaje kule machimboni kwa watu wanaofahamu haya mambo
Kwa yeyote anaehitaji kufuga kuku wa mayai ntamfundisha bure, mimi nafanya kazi ya kufuga kuku ninaumia sana ninapomuona mtu anaajira yake pesa anazo hana ujajanja wa kuingiza kipato kwa ufugaji...
Naomba msaada wa haraka, kuku wangu wawili tangu jana naona wamezubaaa, hawali hata kunywa maji
Wanaonekana kuzubaa na sio wachangaanfu kama kawaida yao, huu ni ungonjwa gani?? Na niwatibu na...
Wakuu heshima,
Kunazia wiki ijayo Maonyesho ya Kimataifa ya Kilimo yanaaza jijini Nairobi, kwa kweli haya ni moja ya maonyesho ambayo si ya kukosa kabisa, ni moja ya maonyesho yenye mvuto wa...
Miongoni mwa mambo yanayotusumbua sana wafugaji ni pamoja na suala zima la ulinzi. Mbwa ni mlinzi mwaminifu kwa karne nyingi na mahitaji ya mlinzi huyu yanaongezeka kila siku.
Mbwa wanaopatikana...
Habari wandungu, mwenye kiwanja maeneo ya mbweni malindi au JKT na angependa kukisukuma ni-pm.
tafadhali siulizi dalali hapa..!! naomba mtu aliye serious sio unakuja na mibei ya kununua ndege. At...
Katika harakati za kupambana na ugumu wa maisha nimenunua shamba maeneo ya rufiji ambako mhogo unalimwa,nimeishasafisha shamba nataka kulima mhogo kwenye msimu huu wa mwezi wa 11 (vuli).changamoto...
Ndugu ,mimi ni mfugaji wa kuku kwa muda nimekuwa nikiuza wakiwa wazima.
kwa sasa nataka niongeze thamani ya kuku wangu nifungashe, niweke label, na kuuza. nzifahamu hatua zote za kupitia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.