Nauza kuku wa kienyeji wenye umri tofauti tofauti.
Kwa mahitaji ya kula na kufuga/mayai.
Bei ni kuanzia 9000 mpaka 15000.
Karibuni wote.
Tuwasiliane kupitia Pm
Namshukuru Mungu kwa kunipa jicho la kuiona fursa ya biashara ya mtandao ambayo ni biashara inayofanywa na watu wa karne ya 21 na inakubalika hata kwa watu mashuhuri mfano Bilgates alisema "If I...
Habari ndg zangu wana jf?
Mimi ni mkulima mdogo lakini pia ninafanya biashara tofauti tofauti,katika kujipanua zaidi nina mpango wa kuanza biashara ya kununua mahindi kutoka kwa wakulima na...
habari zenu wana JF... wadau mimi ni mjasiriamali ninauza uyoga (oyster mushroom). nipo dar es salaaam.,nina uwezo wa kusupply uyoga wa kutosha kwa kila siku. kwa yeyote anayehitaji anaweza...
On September 18th Excel Management and Outsourcing hosted a lunch meeting for the top C.E.O of 50 corporates in Tanzania [Market leaders/Captains] at Serena hotel in Dar es Salaam. One of the key...
Kwa anayehitaji mayai ya Kuku weusi chotara yanauzwa piga namba 0713694820 kwa kuagiza tupo dar, utaletewa hapo ulipo kwa wakazi wa dar.
Yanafaa kwa kukutotolesha pia. Kwa wale watotoleshaji...
Bado siamini kilichotokea. Huyu jamaa nilishawahi kufanya naye biashara kama mwaka umepita. Kama miezi mitatu imepita alikuja kaka yangu akaona ile mifugo niliyoagiza kwa huyu jamaa akatamani naye...
Miaka ya hivi karibuni watu wengi wanaona kilimo ni sehemu salama ya kutupa chini pesa zao ili zitoe faida kubwa. Je huu ni mwanzo wa mapinduzi makubwa ya kilimo cha Tanzania. Ukweli ni kwamba...
Wadau kwa wanaofahamu vizuri mkoa wa Kigoma kuna fursa zipi ambazo naweza kuwekeza na zikaleta return nzuri,nahitaji kujua ili nianze utekelezaji haraka.Nawasilisha
Nilipata kutembelea bonde la Kilombero(Ifakara) wakati fulani. Wakati wa msimu wa kilimo,kuna uhitaji mkubwa sana wa matrekta. Unakuta mtu mmoja ana oda ya kazi mpaka anachemsha. Yaani trekta...
Ndio kama kichwa cha habari kinavyosema, kwa kutumia makaratasi amnayo umekua mkiyatupa yanaweza yakawa chanzo cha nishati ya kupikia kama mkaa.
Kwa maelezo zaidi pamoja na mwongozo wa step kwa...
Mkurugenzi Mkuu wa CBE, Prof. Emmanuel Mjema
Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), kimepanua wigo wa elimu ya biashara kwa nchi za Afrika Mashariki na Kusini mwa Afrika kwa kuongeza idadi ya...
Kwenu wanajamvi.naamini mu wazima.Ninatamani kujua jinsi ya kutengeneza mikunjo ya vikoi vya batiki kwa pembeni sbb huwa ninaona nyuzi nyuzi lkn sijajua jinsi zinavyotengenezwa.
Naomba mwenye...
Wakuu natafuta members ili tuanzishe project kubwa ya kilimo RUVU,nimeplani kilimo cha matikiti maji na natarajia kuwekeza mtaji wa kuanzia 5-10million.
Kwa aliyetayari aniwekee PM ili tuongee...
Habari,wadau kuku wangu anaumwa ametaga mayai2 tu leo anaumwa
Kapooza,anaharisha hata mayai yake kwa nje ya gamba kuna damu
Nisaidieni nimpatie dawa gani
Sent from my BlackBerry 8520 using...
Habarini great thinkers,
Ninahitaji line tajwa lakini kama mjuavyo urasimu uliopo kwenye mchakato mzima wa kuzipata kutoka kwenye makampuni ya simu nimefikiria kuzinunua kwa mtu aliyetumia na sasa...
Habari wana jamii jukwaa hili limekuwa kisima cha mambo mengi nawashukuru wote unaochangia kwa ustarabu nafikiri tukiendelea kuweka mambo vizuri tutafika mbali napenda kujua hizi title za humu...
Kuanzia tarehe 1/10/12 mpaka 10/10/12 kutakuwa na maonyesho ya ufugaji wa nyuki pale uwanja wa Nyerere Dar es Salaam. Haya maonyesho yana maana gani kwetu?
Mimi naona ni fursa nzuri ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.