Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

JF Prefixes:

Marketing kwa maana moja mimi huwa naiita ni zao la Branding kwenye biashara ambalo linatakiwa litoke liende kuitangaza brand iliyojitengeneza.Hapa nchini biashara nyingi zinafanyika kwa mazoea na...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Nataka nianze kufyatua tofari kwa biashara. Naomba msaada wa gharama za mashine.za umeme na manual. maeneo muhimu kwa mradi kama huo Natanguliza shukurani zangu za dhati.
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Napatikana Ubungo,nauza kuku kwa bei ya jumla tsh. 5000/=,napatikana kwa +25 Asanteni
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nauza kuku wangu Wa kisasa kwa bei ya sh.5000,being hiyo ni ya jumla kuanzia kuku 200... Napatikana Ubungo kwa namba +255 762 093 729
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wajumbe!! Naombeni msaada kwa yeyote anaefahamu dawa ya nyani. Siendelei kwa sababu yao, wanakula sana vifaranga wangu. Nawasilisha.
1 Reactions
25 Replies
9K Views
Habari JF Nimependa kuingia katka kilimo cha mbogamboga hususani katika kilimo cha Pilipili mbuzi na nyanya chungu Hivyo basi naomba kupatiwa ufafanuzi juu vitu vifuatavyo 1. Gharama za uzalishaji...
0 Reactions
5 Replies
8K Views
1.nimejiunga nssf kwa hiari 2.kupata elimu ya mashine mbalimbali kama ya kukoboa na kusaga, vitu kama lora 1,2 na 3 havinisumbui tena. Kuhusu size ya kinu kama 75,100 na 200 pamoja na bei zake na...
6 Reactions
20 Replies
5K Views
Hi Jijini Dsm kuna upungufu mkubwa wa sehemu nzuri za kupumzikia familia ( yaani mahali ambapo wewe na familia yako unaweza kwenda bila kigugumizi),mahali ambapo unaweza kuyaona mazingira yenye...
4 Reactions
59 Replies
7K Views
Habari zenu wakuu, mimi nimemaliza chuo mwaka huu nimeona mtaani kugumu kwa kweli, kwa kuwa kuna babu yngu mmoja ni mzoefu sana katika masuaala ya biashara nilikaa nae chini kuona nini nitafanya...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wakuu... Nipo wilaya ya Rufiji. Nina 5milioni je, nawezafungua kiwanda cha unga wa sembe? Je, mashine bora na mzuri zinapatikana wapi. Karibun...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu kwa anaejua soko la mafuta ya alizeti likoje dsm naomba anipe maujanja nijiajiri.
0 Reactions
0 Replies
768 Views
Kiwanja kipo goba km4 toka itakapokuwa barabara ya lami. kina face barabara ya mtaa. mtaa umepangika kisasa, umeme upo karibu kabisa. kina ukubwa wa 400sqm. Bei mil 8.5 serious buyer contact...
0 Reactions
0 Replies
930 Views
Ninawashukuru wajasiria mali wote kwa ushauri wenu mulionipa,kutokana vifo vya ghafla vilivyo kuwa vinatokea kwa kuku wangu.Baada ya kuomba ushauri kwa wajasiria mali chini ya kichwa cha habari...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadao naomba mnijuze kwa anaefaham , je! Ni mitumba ya nchigani ambayo ni mizuri kwa kuuza? Plz!
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Mimi sina kazi ila nilibahatika kufanya kazi hapo miaka ya nyuma nikajenga nyumba ya vyumba vitatu, Maisha yamekuwa magum sana nimewaza kuigeuza nyumba yangu niifanye guest house ili niwe napata...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
wakuu heshima kwenu. _kuna jamaa yangu naye ni mfugaji kama mimi alianza na kuku wachache sana sasa ananiambia anao 60 ndo nikawa namwambia anatumia dawa gani kuwatibia nikawa namwambia wa kwangu...
1 Reactions
6 Replies
6K Views
Habari waungwana, Wadau Mimi ni masikini ila kwa kipindi hiki nimebahatika kupata tzs 4,000,000 natamani sana niizalishe sijui niizalisheje naomba ushauri wenu nifanyeje? Natanguliza shukraan
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Natanguliza shukurani wana jamii forum, mimi ni mjasiriamali nina hold diploma in business administration na Nina kampuni nadeal na kuuza nafaka na logdes(guest houses) naomba mwenye uelewa mpana...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Utando huu huenea sehemu zote za shina na hata majani na hivyo kusababisha mmea kudhoofika na hata kufa. Nimejaribu kutumia mbalimbali za mimea bila mafanikio kwa vile dawa zote hizo zinzteleza...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
nataka kumwagizia waifu probox van ya 2009, nimeingia chaka jamani? kwa kutunza wese hapa dsm, makazi ni bunju kazini posta, ubora, spareparts n.k. kwa wazoefu tafadhali mnishauri.
0 Reactions
2 Replies
988 Views
Back
Top Bottom