Akina Chasa, Mama Joe, Sayuni, SUDEKI na wengineo.... Fursa hii ni yenu hasa wenye makampuni rasmi katika value chain ya kuku na mahindi.
Tangazo lilikuwa on the Guardian jana so here you go...
Tanzania's has been growing on average at 7% a year. Ironically this growth has not created productive jobs for Tanzania's 20 million strong workforce? What went wrong? What needs to be done to...
SERIKALI inatarajia kukopesha vikundi vya uzalishaji mali vya vijana vipatavyo 453 katika mwaka wa fedha 2014/15 kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Vijana.
Hayo yamesemwa hivi karibuni na Kaimu...
hbr jaman....
kuna sehem nategemea kupata 6m sasa nilitaka kuweka kwenye broilers sasa mahesab mbona yanaleta lost
kwa kuku
mmoja
Wiki ya 1 15g*kuku 1000=15,000 sawa na kilo 15kwa siku na...
Mimi in mfanyabiashara wa Samaki sato toka mwanza lakini nimejikuta nikikutana na wavuvi wakiwa na marundo ya kamongo(lungfish) bila kua na soko.natafuta soko la kamongo nianze kusuply kwa kilo...
Habarini wadau,Mimi nataka nianze biashara ya kuuza nanasi hapa dar kwani naona kama ndio msimu umeanza maana nimeona kuna maeneo washaanza kumwaga
Naombeni mwenye kujua zinakopatikana kirahisi...
Wajasiriamali habari za jpili? Nina vfaranga hapa shambani kwangu kama cku nne toka niwalete cha ajabu ni kila nkienda kuwacheki nakuta wamekuwa wanyonge na hivi sasa nmeshatupa vfaranga zaidi ya...
Habar wana kijiji wenzangu wa jf nataka kuanza kufanya biashara juu ya vitu vya kike ndo maana naomba ushaur wenu hapa ni vitu gani wanawake wanavipenda kwa sasa na vpo kwenye fassion au hata kama...
Nipo Dar nafanya kazi nimeajiriwa ,kwa sasa nina mil 2 nahitaji msaada wa biashara ya kufanya na mke wangu kwa kuanzia.Naishi maeneo ya kimara baruti na mke wangu anakaa tu home ,yeye anataka...
Nina kiasi cha tsh. M. 8 nahitaji kuanzisha biashara ya kuuza duka la nguo za akina dada na wamama kama vile magaun, skirt na blause, mikoba(handbag) pochi za mikoni , nguo za watoto pia ME na...
Nahitaji kupata mkopo wa sh 50,000 nifanyie jambo la msingi. Nataka kuweka rehani printer yangu yenye thamani ya sh 70,000 ambayo tokea nimeinunua game supermarket ina miezi miwili na wino upo...
Nahitaji mtu wa kuingia ubia katika biashara nzuri sana inayohusu bidhaa maridadi kutoka Marekani. Mtaji anaotakiwa kuwa nao "m-bia" huyu ni kama 800,000/- (au zaidi) na awe tayari kujifunza...
Mimi ni fundi wa kuchomea magari,mageti na kazi zote zihusikanazo nauchomeleahi msaada wangu ni kwamba kwa sasa hakuna kazi naombeni msaada ni biashara gani nzuri ili nitafute mtaji wakufanya...
KWA UFUPI
Usipokuwa mwangalifu mkopo unaweza kuharibu jina la biashara yako, unaweza kupoteza wateja, kufilisiwa, kupoteza mwelekeo wako kibiashara, kuharibu uhusiano na taasisi za fedha.
Mkopo...
Heshima kwenu wakuu Jamvini.
Mimi ni mfugaji wa bata maji, nilianza si kwa minajli ya biashara ila kama kitoweo nyumbani. Lakini sasa wamekuwa wengi sana kiasi kwamba nashawishika kufuga...
Nilipita ktk bank moja mjini Dar na nimemwona graduate wa SUA akitoa huduma kinyume na masomo yake ya kilimo. Mheshimiwa Rais naomba kwa huruma yako uniuzie mimi lile shamba la mifugo la Kitulo...
Jamani naomba kujua kama kuna mtu amewahi uza vitunguu miezi ya januari na februari, Bei zake huwa zikoje?? mwenye taarifa sahihi anisaidie bei huwa zikoje miezi hiyo
Habari zenu wanajamii,
Kuna kipindi nilikuwa nafanya biashara ya bodaboda mwanzoni ilikuwa nzuri na inalipa ila kadri siku zilivyozid kwenda ikaanza kuzingua na madereva kuanza kuleta uswahili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.