Ndugu Mdau
Habari yako.
Kwa muda nimekuwa nikifikiria uwezekano wa mimi kujiingiza katika biashara ya mbao (haswa kutoka Iringa)
Nilichoambulia ni kwamba biashara hii ya mbao.
1.huweza...
Pole na miangaiko ya kidunia.
Nataka mwenye uzoefu na kuuza mtumba ili aweze kuelezea wapi zinapatikana kiurasi zile za jumla(Baro) kwa sababu nataka nianzishe biashara ya nguo za Mtumba.
Kwa wakazi wa Dodoma tunao kuku wa khliwa Xmas hii 2014. Bei ni nzuri kwa kuwa tunafuga wenyewe hakuna mtu wa kati/midddle man. Piga 0656345348. Pia tunauza vifaranga wa umri mbalimbali na...
Kutakuwa na mkutano wa fursa ya biashara kwenye ukumbi wa New Safari Hotel kesho jumamosi(20/12/2014) saa tisa alasiri(15:00).
Kiingilio ni bure.
Kwa mawasiliano zaidi piga 0753499766
Habari wakuu,
Mimi ni member kwenye group moja huko Facebook. Members wanajadili sana mambo ya ujenzi mpaka wamefikia level za kuonana na kufanya vikao kujadili mambo mbalimbali. Hao wadau...
Guys nina plan la kufanya research kuhusu Greenhouse farming......ninaishi Dar na ningependa kufanya research na kupata mawaidha mawili matatu hata kwenda kuangalia angalia baadhi ya sehemu hapa...
Habari wadau? Jaman mie nauliza kama Ruaha panafaa kwa kilimo cha mbogamboga kama nyanya, vitunguu hoho na kadhalika. Nimepata shamba kijiji kimoja kinaitwa msolwa. Ni mbele ya hifadhi ya Mikumi...
Natafuta kijana au msichana mwenye ujuzi wa kutumia cherehani, kijana awe muwajibikaji mwenye kiu ya mafanikio ya muda mrefu. Tafadhali wasiliana na mimi PM kwa maelezo zaidi
habar,nilikuwa napenda ushaur wenu wa kina juu ya uanzilishi wa biashara ya kawaida ya uzalisha wa mtaji wa 50-60m nijiusishe na biashara yenye chachu na tija la kimaendeleo
Heshima kwenu,nipeni mwongozo ninamashine ya kusaga na kukoboa napia nafuga nguruwe had sasa wapo 18,nifanyeje ili nipate mkopo bank kwni lengo ni kuongeza had wafike 250 kufikia mwisho wa mwaka...
Kwa kifupi sana naandika, amka mkulima, mshikane nchi nzima, mkatae kuuza mazao kwa madalali, mpange bei zenu wenyewe, tuwe na centre za kuuzia mazao yetu kikanda. tulime kwa kalenda, wanunuzi...
Nahitaji vifungashio vya kuweka bidhaa za unga unga kama mdalasini zenye ujazo wa gramu mia.pamoja na mifuniko yake nikifunga ziwe sield.,pia mnaweza nielekeza wapi vifungashio vinapatikana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.