Naomba mawazo na ushauri juu ya vifaa gani muhimu vya kuwa navyo kwa kuanzisha video production company? Vifaa kama editing computers, software etc. Na naweza kuvipata wapi?
Habari waJF, kwa ufupi nipo Dar kwa maeneo ya Chanika sina uenyeji wa kupata shamba la kukodsha. Nataka nkalime kilimo cha nyanya mwezi wa pili kulingana na hali ngumu ya maisha, nmetafuta kazi...
Natafuta mtu wa kufanya nae biashara,yani tufanye ujasiria mali pamoja ,kwa yeyote mwenye fedha lakini hajui awekeze wapi aje na walau laki tano na mimi nitoe tupate milioni moja tuwekeze...
Nauza kuku wakubwa wa kienyeji matetea bei inaanza elf 20000/= tetea mkubwa kabisa elf 25 na majogoo bei ni elf 23000/=,25000/= na 30000/= ukinunua jumla kuanzia kuku watatu kuna punguzo la elf 2...
Target: NECTA form four results in local areas.
Nimekaa nikawaza hapa mjini siku hizi karibu kila mtu ana simu ya kuweza kuangalia matokeo ya kidato cha nne pia kuna internet cafe kibao na pia...
Nina mpango wa kuwa mjasilia mali wa kilimo cha viazi (irish potatoes) Mkoa wa Njombe. Nikiwa aktika jitihada za kutafuta mtaji marafiki walinishauri nitengeneze mpango kazi (project plan) halafu...
Ndugu Wanajamii Nataka Kujua Mbinu Za Utengezaji Wa Sabuni Za Kufulia.pamoja Na Mishumaa Na Uzi Huu Kwa Ajili Ya Kupata Maarifa Na Ufahamu Namna Ya Kutengeneza Bidhaa Ndogo Ndogo Kwa Ajili Ya...
Update:
Hali ya soko imerudi kama kawaida yake, yale mayai yaliyokuwa yanauzwa kwa mafungu (4000 - 4500) kwa tray yemeisha. Tray kwa sasa ni 6500 hadi 7,000 kwa bei ya Jumla.
Serikali...
Logo ni alama au nembo iliyodizainiwa mahsusi kwa ajili ya biashara yako, inayotumika kukutambulisha nje na ndani ya ofisi. Au Logo ni alama au nembo inayotumika kutambulisha...
Habari wadau, nimeona inahamasishwa kule facebook na mtu mwenye id na picha ya mh zitto kabwe kwamba watanzania wachangamkie mkopo unaotolewa na taasisi hii na taarifa zaidi kuhusu hii taasisi ya...
Nimeanza kufuga kuku wa kienyeji pure. sasa nina vifaranga 20 ambao wana umri wa mwezi mmoja. Nawapa chakula cha starter (dukani). Mpaka sasa nimewapa chanjo za OTC+, Newcastle na Gumboro.
kati...
Habar za leo ndg zng.
Natoa mikopo midogo kwa wanawake wajasiriamali Tanzania kuanzia lak2 mpk 3 kwa mkopo wa awali ila kw kikundi cha wanawake wasiopungua kumi.kwa kila kikundi natoa 3ml kwa riba...
Nafanya qualitative research na ningependa kupata data humu ndani kwa Magreat Thinker. Nataka kupata maoni ya vijana wajasiriamali. Ni changamoto zipi huwa wanakumbana nazo katika biashara wakiwa...
Wakuu heshima kwenu,
Ilikuwa tarehe 25 December mwaka ulopita Mtwa Mkulu aliweka Tangazo akituhamasisha vijana tuungane tuache kuzunguka huku na huko kwani kwa sasa serikali imeshindwa. Haiwezi...
Jamani kuna pagale (nyumba ambayo haijapauliwa) maeneo ya mtwivila, nje tu ya geti la chuo cha mkwawa iringa linauzwa. Limejengwa kwa tofali za kuchomwa, lina linta imara kabisa, kuta zote...
Ndugu zangu kuna watu wanapenda sana kufanya shughuli za ziada kama kilimo na ufugaji lakini tatizo wanakuwa hawana muda wa kusimamia kutokana na majukumu ya kazi zao za kiofisi kwa walio ajiriwa...