Habari zenu wakuu,Naomba kwa aliye na mawasiliano na yeyote mwenye uwezo wa kutengeneza sabuni za mche kwenye maumbo tofauti anipe contacts zake maana nahitaji sabuni za kuogea za mche.
Shukrani
Habari.
Wiki iliyopita nilitangaza humu JF kuwa nauza moja ya mashine zangu za kutengeneza mkaa wa kisasa sababu ikiwa ni kuongeza mashine kubwa kwa ajili ya kuongeza uzalishaji. Baada ya siku...
Wakuu ni miezi iliyopita iliyopita tuliona threads za kutosha kuhusiana na kilimo cha greenhouse,Ningependa wale members ambao walijaribu kilimo hiki watupe mrejesho walipofikia ila na sisi...
Wakuu kwa muda sasa limekuwa lina nijia wazo la kufanya biashara ya kubadilisha fedha za kigeni kwa kucheza na rates za maduka ya kubadilishia fedha na mabank
Sina maana ya kuanzisha Bureau De...
Habari zenu wana janvi,
Shida yangu kubwa ni kutaka kujua/kufahamu upatikanaji wa shamba la kukodi hasa kwenye mikoa inayolimwa zao la shairi pia utaratibu unaofanywa na kampuni mbili...
Wadau, kuna mtu anatafuta shamba lenye ukubwa kuanzia eka 500 hadi 1000 mikoa ya Morogoro, Dodoma na Singida kwa ajili ya kilimo kikubwa cha nafaka hasa mahindi. Liwe maeneo yasiyokuwa na...
BY DINFIN MULUPI | ENTREPRENEUR WATCH, FEATURE ARTICLES, ICT, TANZANIA |
Nadeem Juma established an international school ten years ago at the age of just 19, and is the co-founder...
Natafuta mtu wa kunifanyia mentoring or coaching katka harakati zangu za kuanzisha pre-primary school and hatimaye primary school. Ataifanya kazi hiyo tangu naanza mradi hadi tuhakikishe mradi...
Kwa anaye hitaji fertilized eggs za KARI basi tuwasiliane, Arusha na bei ni Tsh 30,000/ per trai na minimum ni Trai 5, ni fresh eggs za KARI F1.
Chasha Arusha-0767-691071/0783691072
wasalaam. kuna eneo la biashara ya viazi au chips linapangishwa kwa bei nzuri eneo la kimara mwisho kwa kodi ya tsh elfu 90 tu kwa kila mwezi na pia vifaa vyote vya biashara hiyo navyo...
Wana JF habari za Weekend na J3 hii.
Wiki iliyopita nilikutana na biashara moja ambao sikuilewa vizuri. Biashara hiyo ni ya Forever Living Products kutokana na mmea wa Alovera.
Hebu...
Wanajamvi nimekutana na Tangazo la Social Credit & Loan Cooperative kwamba wanatoa mikopo kwa masharti nafuu na wanasema haina riba. Naomba anayejua kuhusu hii atujuze ili tuweze kuchangamkia fursa.
Habari wajasiriamali wenzangu na wanajf kwa ujumla. Mimi niko Dodoma chamwino naomba kuuliza je Dodoma kuna mtu yeyote ambaye anajishughulisha na utotoleshaji wa vifaranga wa kuku wa kienyeji...
Pia ningefurahi kupata mrejesho wako (feedback) juu ya uzi ninazotoa ili nijue pia kama jamii na mlengwa ninaemtegemea amepata elimu unaohitajika,kwa kuacha komenti yako hapo chini kwenye sehemu...
Nipo mwanza, Nakalibia kustaafu kazi kama miezi 3 ijayo , naomba ushauri ni biashara ipi nifanye mtaji nilionao ni millioni moja
Naomba ushauri wenu wana ujasliamali hapa jamii forums
Wadau hili swala mnalioneje? Huwa napenda sana ku analyse biashara tofauti kila mahali niendapo, kuna swala linanishangaza mara nyingi. Unakuta kuna sehemu mbili ziko eneo moja lakini mmoja...
Mimi ni mjasiriamali toka tunduru natamani kufaham je asali ina soko kiasi gani then ni vigezo vp vinapaswa kufuatwa ili kufanya biashara ya asali kisheria.. naamin wadau mtanisaidia ktk hili...
Name: Lily's Company Limited
Established: 1991
Main Office: Swahili Street
Branches: Dar es salaam & Tanga
For more details call/email the company's managing director.
Phone...