Habari za weekend wakuu poleni na majukumu ya wiki nzima…
Niende kwenye mada, nina eneo la kutosha na lenye banda la kisasa maeneo ya CHANIKA-Dar nimeanza ufugaji wa Ng’ombe kwasasa yupo mmoja...
RC KATAVI, MHE. MWANAMVUA MRINDOKO: Uzalishaji wa Chakula Mkoa wa Katavi Waongezeka
UJUMBE WA RC KATAVI KWA WATANZANIA KUHUSU MAZINGIRA WAKATI WA MAAHDIMISHO YA MIAKA 60 YA MUUNANO.
Mkuu wa Mkoa...
Kuna project nafuatilia nilikuwa nataka kujua watu wa Arusha km mngenisaidia retailer ambaye anahusika na izi Organic Black Kidney beans kwa wingi sana nijue.
Uyu mbwa vp? Ni kwa anaumwa au ndo kazeeka? Coz namuonea huruma sana na km ana vidonda mwili mzima. N
atamani hata ningemchoma sindano ya euthanasia tu apumzike coz anaona anateseka sana hata...
HATUA KWA HATUA UFUGAJI WA KUKU BORA WA NYAMA (BROILER)
Lengo la makala hii ni kukuwezesha wewe mkulima kupata kuku wa nyama wenye uzito sahihi kukuwezesha wewe kupata faida. Hivyo basi wewe kama...
Huwa najiuliza kwanini Serikali Isingewaezesha Wa kulima kama vile kuwapatia Vifaa Vya kisasa Vya Kilimo kama Trekta, Mashine za umwagiliaji halafu kila mkulima Anapovuna Anatoa Asilimia Kumi tu...
Niko mwanza napenda kupanda miti.
Tupeane Location na hii bidhaa ya miti
1.Miche ya Bure✅
2.Miche ya ofa✅
3.Miche ya hela⚠️✅
Nimeanza na mti mmoja wa maembe.
Mwenze miche anipee basi nikapande
Nini maana ya Incubator ya mayai? Eggs incubator?
Ni jinsi gani ya kuitumia Incubator kuyapa joto mayai?
Ni kitu gani nifanye kabla ya kuweka mayai ndani ya incubator?
Nini kitatokea nisipogeuza...
Waungwana naombeni msaada tafadha sina utaalama sana, jamaangu ameniazima mashine n tayari nimeshaweka mayai ila naombeni msaada kwe hayo mawili tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari ndugu zangu,
Mimi ni kijana niliyeamua kujiajiri rasmi kwenye ufugaji wa kuku wa kienyeji kibiashara kwa asilimia 100, nimeanza kwanza utafiti kwa kujarbu kusikiliza maoni ya watu ambao...
Mimi ni mtaalamu katika sekta ya ufugaji nyuki, kama kuna kitu unahitaji kujua kuhusu Nyuki na Asali niulize nitajibu kadri ya uelewa wangu. Karibuni. "Without bees man will have only 4 years to...
Habari wanajamii?
Mimi ninafuga Sungura na Njiwa kwa kuwa nawapenda sana ila nafahamu kwamba nikipata elimu ya namna ya kuwafuga kitaalamu au kwa mtu mwenye uzoefu nao naomba anielekeze namna...
Ni mwaka Jana ndiyo nilifahamu kwa mara ya kwanza juu ya uwepo wa tunda liitwalo dragon.
Dragon ni kama jina la "utani"
Jina lake halisi, kama sikosei, ni PITAYA au MSHOKISHOKI.
Uchunguzi wangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.