Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

JF Prefixes:

Habari zenu wakuu! Kama kuna mtu anaweza kunielewesha aina hiyo ya kilimo(kontua) naomba anisaidie. Ukitupia na picha itanisaidia kuelewa zaidi.
2 Reactions
1 Replies
669 Views
Yanapatikana kwa wingi nchini Kenya. Naamini na hapa kwetu Tz kuna watu wanaoyalima. Sina uhakika kama nimeshayala. Lakini leo katika kupitia makala za kilimo, nimekutana na mada inayoihusu...
4 Reactions
37 Replies
2K Views
Ni mikoa gani Tanzania inafaa kwa kilimo na mifugo? Na ni wilaya zipi katika mikoa iyo n maharufu katika izo kazi. Bei ya mashamba zipoje katika mtazamo wa kununua na kukodi, na je hekari moja...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Jamaani mashamba yanayoweza kuwa rafiki kwa kilimo Cha vitunguu mkoa wa ruvuma yapo wilaya gani?
0 Reactions
4 Replies
908 Views
Mo anataka kuingia kwenye kilimo. Kapanga kuweka dola milioni 250 kulima ekari laki moja. Kila la kheri kwake.
5 Reactions
46 Replies
3K Views
Hawa wadudu ni kero sana wanapokua ktk makazi yako. Nimehamia nyumba fulan nimekutana na mazalia ya mende wadogo ambao wamekua wengi sasa.. Inafika hatua mtu umelala kitandani mende anatembea...
1 Reactions
17 Replies
7K Views
katika maeneo mengi humu nchini hususani mashambani, hali ya hewa ni mwanana na inatia moyo sana kwa wakulima, huenda hii ikawa ni ishara ya matumaini kwa wakulima wa mazao mbalimbali humu...
0 Reactions
0 Replies
362 Views
Habari wadau wa jf[emoji112]. Naombeni msaada nahitaji nielekezwe dawa nzuri kwa ajili ya palizi shambani ambayo inaua nyasi almost aina zote. N.b mahindi yana siku 20 pia shambani kuna mahindi...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Naomba ushauri/maelekezo ya namna ya kutumia mbolea inayotokana na kinyesi cha popo kwa ajili ya kilimo cha mboga mboga kama nyanya, mshumaa, pili pili aina zote, bilinganya nk.
0 Reactions
10 Replies
689 Views
Natoa ushuhuda wangu wa kilimo cha mahindi nilichofanya msimu wa 2022 Niliandaa shamba ekari 3 kwa tsh 180,000. Nilinunua mbegu aina ya Dk mifuko 7 ya kilo 2 kwa garama ya tsh 91,000. Gharama...
24 Reactions
90 Replies
16K Views
Naomba kuuliza wataalamu wa miti; Je, ni umbali gani unatakiwa kupandwa miti ifuatayo pembeni ya fensi ili mizizi isipasue msingi, mwisho ukuta? 1. Michungwa na milimao 2. Miparachichi 3...
5 Reactions
29 Replies
3K Views
Hii ni project ya miaka 3 ambayo nimeianza Rasmi mwaka jana kwa kuotesha kitalu cha milimau, na kuipanditikiza pembeni kwa ajili ya kufanyiwa bading, mwaka huu iko stages nzur tu na mwakani Mungu...
8 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari wa ndugu, Napenda kupata maarifa zaidi kwenye ulimaji wa minazi, hasa kibiashara. 1. Wapi napata mbegu nzuri za kisasa 2. Utayarishaji shamba? 3. Muda gani wa kupanda, na namna gani nzuri...
2 Reactions
24 Replies
8K Views
Ng'ombe wa maziwa ni fursa kubwa katika mikoa mingi Tanzania ni mradi unaojiendesha na una return kubwa endapo utafanya usimamizi na uwekezeji mzuri Endapo unapenda ufugaji na unahitaji kuanza...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
..Mtaalamu anaeleza hatua kwa hatua namna bora ya kuotesha miche ya Michungwa. ..Nadhani maarifa haya ni nadra kuyapata kwingine.
2 Reactions
0 Replies
429 Views
Na Amon Nguma. Dunia kwa nyakati zote imekuwa ikikubwa na changamoto mbalimbali za asili na zitokanazo na shughuli za kibinadamu lakini Mtu au Taifa lililoweza,linaloweza na litakaloweza kuona...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Naomba kujifunza yafuatayo kabla sijaingia kwenye ufugaji; Nafikiria kufuga kuku chotara (Sasso au Kroiler) kisha niwauze baada ya miezi 3 kwa bei isiyopungua 10,000/= Lakin nimekaa nakupiga...
2 Reactions
11 Replies
4K Views
Nimeona jinsi wakulima wakizungumzia mwenendo mbaya wa mazao yao Shambani mfano wa kulima wa Kanda ya Kati wengi walichelewa kumpanda hivyo jua la mwezi wa tatu limezingua kufanya mimea isinawiri...
4 Reactions
5 Replies
678 Views
Wadau hali ya kiuchumi ya watanzania inajulikana , wengi wetu vipato vinasua sua sio kwa jobless ama employee iwe public ama private entity. Wakuu nimekuja hapa tupeane updates ni mkoa gani ama...
8 Reactions
88 Replies
5K Views
Habari za muda huu Kama kichwa kinavyosema namuomba mkuu BASHE aseme mafanikio na maendeleo ya BBT yake ilipofika maana mpaka sasa hatuoni matunda na hiyo kitu. Je, wamelima mazao ya mwaka mmoja...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Back
Top Bottom