Habari wanajukwaa, katika kufikiria mbinu na namna ya kuboresha na kufanya ujasiriamali kupitia kilimo na ufugaji nimewaza na kupanga kupata vijana waliopitia mafunzo ya JKT (either kwa mujibu wa...
Wakuu kwa mara nyingine nimefanikiwa kuagiza hawa vifaranga wa Kuroiler. Hawa ni kuku kutoka India na wanaweza fugwa free range na hawa like Dorep wanakuwa wakubwa sana. So by mwezi wa 12...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Esther Edwin Malleko amegawa TANI MOJA ya Mbegu Bora za Mazao ya Alizeti kwa Wanawake wa Mkoa wa Kilimanjaro ili kuwainua Wanawake Kiuchumi katika...
Habari za majukumu wakuu,
Naomba kujua mwenye uzoefu na kilimo cha vitunguu, katika eneo la Kondoa au karatu wapi naweza pata faida, mtaji wangu ni tshs 100,0000.
Mwaka Jana, miwili iliweka matunda machache. Mti wa kwanza ulizaa embe 1 na wa pili maembe 2. Ilikuwa mitamu sana.
Nilitarajia mwaka huu miti yote 5 ingezaa, tena matunda mengi kuzidi ya mwaka...
Habari zenu wafugaji na maafisa kilimo na ufugaji.
Biashara zote zimegoma kwahio nataka niingize mtaji kufuga kuku wa mayai. Sina experience lakini kwenye mchanganuo wangu wa biashara nimeweka...
Narudia tena kilimo cha nyanya msimu mwingine wa masika baada ya kumalizana na kiangazi.
Msimu uliopita nilipanda miche 1000 tu kama sehemu ya kujifunza kwa vitendo.
Matokeo yalikua sio mazuri...
Habari wadau, nimepanga kulima nyanya mwaka huu, nataka nitakazouza muda wa kuanzia mwezi wa 11 mpaka muda huu naomba mnishauri kwa yafuatayo;
1. Nianze kufulia mbegu lini
2. Nianze kulima lini...
Tanzania imezungukwa na maziwa makubwa yenye maji mengi kama vile ziwa Victoria , ziwa Tanganyika, Ziwa nyasa nk. Mara kwa mara viongozi wetu wamesikika wakisema tutumie maziwa haya kwa kilimo cha...
Nilikuwa nimelima mahindi ekari 2, Jana nimeenda kuvuna haya mahindi nimempata gunia 6.
Nimeagiza Bajaji/ Toyo la mizigo kuja kubeba haya magunia 6 ya mahindi ambayo bado sijayapukuchua toka...
Habarini wana jamvi, kama kichwa Cha Uzi kinavyosomeka, napenda kujua ni water pump nchi ngapi inayoweza kupeleka maji mitaa 400 au zaidi kwenye eneo lenye mwinuko wa wastani?.
Sent from my...
Mbunge Kavejuru Felix: Biashara ya Kaboni katika Misitu ya Asili/Kupanda Imechangia kiasi gani kwenye Pato la Taifa
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt...
Kilimo ni sekta moja mihumu na chimbuko la sekta nyingine zote, kilimo huzifanya sekta nyingine kuwa endelevu endapo kina kuwa hai na endelevu.
Vijana tunashindwa kuimudu sekta ya kilimo kutokana...
Mbunge Joseph Kakunda: Lini Serikali Itaweka Utaratibu wa Mbolea Kuwekwa Kwenye Vifungashio vya Kilo 5, 10, 15, 25 na 50.
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amesema kwa sasa mbolea imeanza...
Members wakulima na wazoefu wa hayo mazao,
Naomba kuelewa kama muongozo kwa ufupi mapato ya wastani kwa mwaka kwa kila zao hapo juu.
Naomba tu share uzoefu wetu kwa manufaa yetu sote.
EDITED
Nimeanza rasmi may 2 2023
Habari wapendwa mimi engineer by profesional pia ni mjasiliamali hua najishighulisha na kilimo na ufugaji tangu nimalize chuo sikuhitaji ajira kivile ingawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.