Ukiangalia maandamano ya Wakulima Ulaya yana fikirisha sana na kujikuta nawaza kama tuna lima huku Africa au tuna tania tu.
Ulaya wakulima wana nguvu mno, kaisi kwamba sisi tunaonekana tuna cheza...
Habari wanajamii Kilimo,
Binafsi nimepitia hii nyaraka, kwa wale wapenda kilimo kama mimi ukiipitia hii document itakufungua macho sana kuhusu zao gani lipewe kipaumbele kutokana na eneo ulilopo...
Mbunge Mwantum Zodo Aibana Serikali Kuvisaidia Vikundi vya Uzalishaji Mali vya Ufugaji Vinavyosimamiwa na Wanawake
VIKUNDI 102 VYA WAFUGAJI VYANUFAIKA NA MIKOPO
NAIBU Waziri Ofisi ya...
Watanzania wengi kwa sababu ya kuigana yaani no kuumiza kichwa wote tuna fuga kuku wa mayai au Nyama.
Kuna Bata special wa Mayai hawa utagaji wao hakuna Kuku anaye fuata, kuna layers Ducks...
Mlimao wangu ulipata Shida na majani kuanza kuwa meusi. Nilichukua Jani na kupeleka Kwa wataalam wanauza dawa za mimea wanajiita Mangito. Kufika palale kuwaonyesha na wakanipa dawa ya ukungu...
Habari za leo wanajukwaa. Heri ya siku ya pasaka.
Najua humu kuna wataalam mbalimbali, naomba kujua kwa mkoa wa iringa je miti ya mitiki inaweza kustawi?
Katika kupambana nimefanikiwa kununua...
Miaka na miaka kuna watu wanandaga Israeli kujifunza kilimo.
Israeli kama unavyojua imepiga hatua kubwa sana kwenye Kilimo kiasi kwamba levo zao ni Nchi za Ulaya na Marekani.
Sasa jamaa zetu...
Je kupandisha nguruwe waliozaliwa tumbo moja (uzao 1 na wa mama huyo huyo)
Kuna athari zozote kwa vitoto vitakavyozaliwa?
Msaada kwa anayeelewa.
#commred Chichimizi
Nafanya biashara ya kuuza mboga za majani za aina tofauti, kwa hali hii ya joto zinawahi kusinyaa hivyo kupoteza muonekano wake mzuri na kukosa wateja.
Nipeni mbinu ya kufanya mboga za majani...
Habari za saa hizi wadau.
Mimi ni mkulima mdogo wa maharage katika wilaya ya Simanjiro mkoa wa Manyara.
Ninapenda kuulizia fursa ya kukodi shamba la kulima maharage na mahindi mkoani Tanga...
Habari za asubuhi wadao. Naomba connection ya sehemu linapolimwa tumbaku na ugoro ukiachana na Ngaramtoni ya chini kule Arusha.
Nahitaji kama heka tano za kukodisha kwa ajili ya kulima msimu huu...
Nawa salimuni kwa jina la Mungu. Ndugu wafugaji na wakulima Mwaka 2024 huu Mungu ametujaalia kuwa salama tena na kutubarikia kwa kila hitaji letu na familia zetu, tunawapa pole wale wote...
Kwa anayejua abc kuhusu kilimo cha mtunda damu - passion fruits, naomba tuweze kupanuana maarifa kwa yafuatayo:-
1. Ardhi inayofaa kilimo hiki au hata green house
2. Upatikanaji wa mbegu bora
3...
Msimu huu wakulima wa Machungwa aina ya Valencia wamepata fedha nzuri, kwani mpaka Muda huu kule mashambani muheza Tanga bei ya Chungwa moja ni Tsh 100 hiyo ni bei ya shambani tena hapo mkulima...
Habarini?
Naomba kufahamu ni sehemu gani Mbeya wanapo Fanya kilimo cha mpunga kwa kumwagilia bila kutegemea mvua, anaefahamu naomba anijuze nikijua hadi kijiji itanisaidia zaidi.
Blue berry huwa ni ghari sana, na ni pendwa sana, na ni moja ya very expensive fruits kwa Tanzania, na nadhani ni kwa sababu inalimwa na wakulima wachache sana.
Mfano kwa Kenya nadhani ni Kakuzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.