Habari wana jf mm ni kijana ambae nimekua nikifuatilia mishe mishe za mjini ambazo nikifanya naweza kutoka kimaisha mara moja nimekagua kila aina ya dili za hapa mjini na vilimo huko vijijini ila...
Ndugu, katika pitapita kwenye magroup ya wahangaikaji, nimekuta mtu anasema kilimo cha parachichi (aina ya fuerte) kinastawi Wilaya ya Urambo Tabora...Vipi kuna ukweli??
asante
Kuna matajiri wakubwa Tanzania ambao utajiri wao waliupatia kwenye kilimo. Kuna ambao ni wakulima matajiri wanaoendelea na kilimo mpaka sasa. Na kuna matajiri walioamua kuingia kwenye kilimo...
Wadau nipo kwa niaba.
Kuna rafiki yangu wa karibu kanifata kutaka ushauri kwangu, yeye anamilki trector 1 pia shamba la kulima mpunga km heka 200 hiv, ni mwalimu serkalini mshahara wake basic...
Kwa hivi sasa bei ya mahindi maeneo mengi imeporomoka sana, kule Tarime naambiwa gunia la mahindi la kg 108 linauzwa 35,000/-, kwa hali hii ya mkulima itaendelea kuwa duni miaka yote.
Wakuu kwa wale wafugaji wa kuku wa kisasa aina ya layers yaani kuku wa mayai wale wanaotaga, nahitaji mbolea ya kuku wa aina hiyo. Itapendeza vizuri iwe ni kwa wale wanao fugiwa chini.
Yeyote...
Habari zenu wadau
Katika kutafuta maisha nmeamua kuanza ufugaji wa ngombe wa maziwa lakini sasa kupata pure breed anayetoa angalau 25 litres per day imekuwa changamoto.
Nimeshapigwa mara 2...
Habarini wanajamvi bila shaka mko poa kabisa.
Natamani kufahamu zaidi kutoka kwa watu wenye uzoefu wa vilimo vya mazao tajwa hapo juu(parachichi na korosho).wataalamu wa uchumi wa kilimo...
Nataka kupanda miche kama kumi hivi ya miparachichi nyumbani. Naomba ushauri wa kitaalam ili inipe matokeo bora je ni aina gani ya mbegu nitumie kwa ajili tu ya parachichi bora ya kula nyumbani...
Wakuu nipo mkoa Fulani huku Kanda ya ziwa, nimelima mazao hekari 10. Nne za mahindi na 6 za mpunga
Kati ya hekari 4 za mahindi hekari 2 na nusu ziko vizuri na mbolea niliwekea so sasa hivi...
Zingatia Mambo Haya Ili Kuhakikisha Unakuwa Na Shamba Lenye Miti Yenye Afya Na Mavuno Mengi.
Kwa Wakulima wa Matunda Wa Muda Mrefu na wapya watakuwa mashahidi kuwa ili Shamba liwe na Mavuno Bora...
Wadau na watalaamu wa kilimo cha nyanya hali ya mvua inatishia kwa uzalishaji wa nyanya tupeane mbinu mbalimbali za kupambana na hali iih ni sumu gani zinafaa kupuliza? Natanguliza shukurani
Mwaka 2023 umekua mwaka wa neema kwa wafugaji, mwaka wa maji mengi na malisho mengi tofauti na mwaka 2022 ambapo ng'ombe wengi walikufa.Gazeti la Mwananchi la Jan.16,2022 liliandika kuwa Ng'ombe...
Habari wakuu,
Nimepanda mahindi mwezi November 2023 maeneo ya mkuranga mbegu ya pioneer sasa yamefikia hatua ya kubeba(yana miezi miwili) ila yamepata tatizo lakunyauka majani kuanzia chini kuja...
Habari wakuu....
Natamani nianze rasmi kilimo hiki, naomba ushauri kuhusu masoko na bei zake huwa zikoje huko masokoni.....
Niko Morogoro mjini.
Karibuni.
Sasa ni muda muafaka kwa vijana kuingia kwenye kilimo. Najua vijijini gharama za kilimo huwa chini, unaweza kubahatisha mashamba yenye rutuba na yanakodishwa kwa bei nafuu.
Na pia katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.