"Je, lini Serikali itawalipa mafao wastaafu wa shamba la Kapunga Wilayani Mbarali lililokuwa linamilikuwa na NARCO? - Mhe. Bahati Ndingo, Mbunge wa Jimbo la Mbarali
"Wakati wa ubinafsishaji kati...
Wanajf Mimi ni mfugaji mdogo wa kuku!
Msimu huu nimebahatika kupata pumba ya kutosha!
Ninaomba anayejua namna nzuri ya kuihifadhi ili niitumie au hata kuiuza hapo baadae ninaomba anijuze!
Lengo...
Inahitajika mashine ya kutotoa vifaranga.
Sifa za lazima:
Iwe inatumia umeme wa Tanesco na Ikiwezekana umeme wa jua.
Iwe inayogeuza mayai (Automatic).
Iwe imara
Habar za kazi wana JF naomba kujua kuhusu kilimo cha hili zao
Je, mbegu zake zinaweza kupatikana wapi?
Je, soko lake lipoje na linawez kustaw maeneo ya baridi kama vile Njombe na Iringa...
Habari wanajamvi. Kama mada tajwa hapo juu. Natafuta shamba lenye ukubwa wa kuanzia hekari 20 hadi 100 kwa ajili ya kufugia.
Vigezo!
1. Liwe na miti ya asili au vichaka au maotea/chipukizi za...
Hello JF.
Nimeanza uzalishaji wa mchicha lishe miezi michache iliyopita hapa Kyela mjini. Takribani kola kitu kinaenda sawa. Mimi hutumia samadi na kuvuna mchicha kila baada ya siku 15 - 20...
Fursa ya Kuanzisha Viwanda vya Kuchakata Mazao ya Karanga, Ufuta na Alizeti - Kata ya Likokona, Nanyumbu
Serikali kupitia Kituo cha Uwekezaji (TIC) inaendelea kutangaza fursa za uanzishwaji wa...
Habar wadau wa jukwaa hili kama ujumbe wangu jinsi unavyojieleza hapo juu. Mimi ni kijana ambaye kitaaluma ni fundi umeme, ila nimejikita kwenye ufugaji kwa muda sasa hasa ufugaji wa kuku kienyeji...
Nilikuwa na watch Youtube kuhusu mkulima wa Apple Nchini Kenya anaitwa Wambugu (Wambugu Apple) nimekuwa inspired aisee, ingia Youtube andika Lynn Ngugi Wambugu apple utaiona, na anatoa darasa free...
Nimetapeliwa laki 1 ,nilitoa tangazo nahitaji maharage ya njano , mwenye namba hii 0789242824 ajanitumia meseji inbox akanambia anamjua anayeuza maharage ya njano yupo kyela ,mbeya na akanipa...
Wakuu nimeamua kuchukua uamuzi wa kufuga ng'ombe wa asili na kuachana na hawa wa kisasa.
Nitaenda minada ta bara ninunue mitamba kama 50 yenye mimba/au iko tayari kupandwa kwa Sh 250,000 kila...
Peter Wambugu amejizolea umaarufu mkubwa sana Kenya kwa kuweza kudevelop Breed yake ya Apple ambayo ameipa jina Wambugu Apple.
Hii apple inaonekana kuvuta watu wengi sana hasa West Africa, Centra...
Chuo cha Misitu Olmotonyi (FTI) ni chuo pekee kikubwa tangu kuanzishwa kwake mwaka 1937 na ni moja ya chuo bora kabisa kuwepo Afrika Mashariki, Afrika na Duniani, katika utoaji wa mafunzo ya...
Wakuu, Leo nimetembelea maonyesho ya wakulima hapa rock city na nikapita mabanda mbali mbali ya wauzaji na wazalishaji wa mbegu Bora za aina mbali mbali.
Kilicho nivutia ni Hawa kampuni ya mbegu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.