KILIMO CHA UYOGA
Kwa kuwa #uyoga upo wa aina mbalimbali, usitawishaji wake hutofautiana katika mahitaji yake, ikiwa ni pamoja na hali ya hewa, malighafi za #kuoteshea, urahisi wa teknologia ya...
Habari wana Jf, mimi naishi Morogoro wilaya ya Kilosa nimepata wazo la kufanya ufugaji wa Ng'ombe wa maziwa na kisasa
Lengo langu niwe na Ng'ombe wawili majike wa maziwa then niwe na ng'ombe...
Waziri wa Maliasili na Utalii, Angellah Kairuki (Mb) leo Machi 20, 2024 amekagua mabanda ya Maonesho yatakayotumika katika Maadhimisho ya Siku ya Misitu Duniani na Siku ya Upandaji Miti Kitaifa...
Mkuu wa Wilaya ya Ludewa- Victoria Mwanziva akiambatana na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa Sunday Deogratias na Wataalam wa Idara ya Kilimo Wilaya ya Ludewa- wametembelea Kiwanda cha...
Naombeni msaada wa kitaalamu wa kupalilia mahindi kwa kutumia viuatilifu maana vibarua wanasumbua na wakati mwingine mvua inanyesha mara kwa mara.
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika kipindi hiki, mimi binafsi naendelea kujikita kikamilifu katika harakati zangu za kutafuta mabanda ambayo naweza kuyakodisha kwa lengo la kuanzisha shughuli za ufugaji wa nguruwe. Katika...
UZI HUU UTAKUWA UPDATED KWA KILA HATUA NITAKAYOPITIA KAMA MFUGAJI. KARIBUNI
UPDATE 20TH FEB 2015
Habari za masiku wadau na heri ya mwaka mpya.
Napenda kuwaletea mrejesho kama nilivyoahidi...
Wadau wa kilimo naomba ushauli ninashamba la mapunga liko kati ya mita 6000 Hadi MITA elf 1 ,je pump zipi ninunue?JE petrol nch 3 hadi 4 au pump ya diesel nchi ya Bomba la nchi 3 u nne au...
Habari wadau,
Baada ya kuwa kwenye ajira kwa miaka 10 na kuona msoto uko pale pale,nimeamua kuingia kwenye kilimo kama njia ya kuongeza kipato cha ziada.
Nimeanza kwa kukodi shamba Ruvu kwani...
Mambo vipi wadau nataka kufuga ng'ombe wa kienyeji vijijini bajeti yangu milion 5.
Nataka ninunue ndama 1@150000tsh niwakuze kwa miaka 3 then niwauze je?
Ni changamoto gani nitakumbana nazo...
Natafuta Mashamba ya Bei Rahisi kwenye Mikoa ya Kagera na Tabora. Mashamba yenye ukubwa wa zaidi ya ekari 50, yawe na upatikanaji wa maji ya kutosha na hali bora ya hewa.
Mwenye taarifa za...
Habari za mida hii wanajamvi.
Naomba msaada kwa yeyote anae fahamu ni wapi na weza kupata viazi mkoani Mbeya au Njombe.
Bei iwe ya jumla ya shambani na pia gharama za usafiri zimekaaje? Kwa...
Leo ningependa kuzungumzia hii biashara ya kuku inayofanywa na baadhi ya wafugaji ambao mwisho wa siku wanazalisha vifaranga na kuwauzia wajasiliamali wengine.
Somo hili ni mahususi kwa wale...
Kwa mwana JF yeyote mwenye ujuzi na uzoefu wa kilimo cha viazi naomba anipe detail kuhusu kilimo hicho.
Yaani kwa mfano, nikitaka kulima hekari moja natakiwa kuwa mtaji wa kiasi gani? Na vipi...
Wadau,
Nimepata habari rifiji ni mgodi mpya wa upatikanaji wa ngombe na mbuzi kwa bei nzuri. Naomba yoyote mwenye ufahamu wa hili na connection anijuze!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.