Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

JF Prefixes:

SIO MBAYA wajenxi kukumbushana wapendwa Najua mpaka tunajenga tunahangaika sana sana kuweza kujenga Hizi changamoto utazikuta wakati WA ujenzi Ukiwa unaenda kununua mbao hasa pale buguruni...
2 Reactions
3 Replies
166 Views
Habari za Asubuhi wadaunwa sekta ya Kilimo, Naomba kuuliza je ni siku ngapi mbegu ya tikiti ya sugar queen F1 toka hutumia hadi kutoka ardhini maana ya kwangu ni siku ya tisa bado haijatoka na...
0 Reactions
12 Replies
736 Views
Habari wana JF.Nina hekari 2,000 za shamba maeneo ya mazinde wilaya ya korogwe mkoani Tanga. Ninatumia heka 1,000 tu.Zimebakia heka 1,000 kwa mwekezaji yoyote wa kilimo aje. Pembeni limepakana n...
4 Reactions
18 Replies
6K Views
Kama unahitaji kukusanyiwa pumba za mahindi na mashudu kwa bei nafuu sogea tufanye Biashara ASAP
4 Reactions
9 Replies
320 Views
Habari zenu wakuu, naomba kujuzwa aina nzuri ya mbegu ya maharage soya ya njano, nmeambiwa zipo aina zaidi ya moja itapendeza mkiweka na bei yake. Mbegu ambayo inafanya vizuri shambani na...
0 Reactions
0 Replies
69 Views
Habari za mda huu ndugu wapambanaji wenzangu Naomba maelekezo kwa anae jua namna nzuri ya kilimo Cha tangawizi 1,hali ya hewani 2,aina nzuri ya mbegu 3, jinsi ya kuandaa mbegu au upatikanaji wa...
0 Reactions
0 Replies
57 Views
Nimefanikiwa kupata shamba la ekarim kama 50 ambapo kati ya hizo 20 ni msitu, lina chanzo cha maji cha ukakika na nimeshauriwa nifuge nyuki kwa kutumia mizinga ya kisasa. Niefikiria kuweka...
8 Reactions
72 Replies
4K Views
Poleni na mihangaiko ya kila siku. Naomba kama kuna mtu anauelewa juu ya kilimo cha matunda machungwa kwa mikoa ya Tanga, Kibaha na morogoro (hata sehemu moja). Anisaidie kunijuza juu ya...
3 Reactions
26 Replies
12K Views
Wasalaam. Huku Karatu mahindi yameota vizuri ila mvua hakuna. Ikipita wiki moja hakuna mvua yanaelekea kukauka Sijui maeneo mengine ila hali ya hewa ikiendelea hivi ni hatari.
3 Reactions
8 Replies
264 Views
Wanajanvi Salaam, Ni matumaini yangu wanajanvi mko wazima na mnaendelea na harakati za upambanaji wa kutafuta mkate wa familia. Napenda kuleta mlejesho wangu kuhusu safari yangu ya kwenda Mpanda...
58 Reactions
483 Replies
64K Views
Habarini watu wa Njombe, nchi iliyosheheni "asali" na "maziwa"! Mwanzoni mwa mwaka huu nilifanya ziara mkoani Njombe, ziara ambayo ilinifungua macho kuhusu "utajiri" uliopo Njombe. Katika hiyo...
12 Reactions
115 Replies
5K Views
To determine whether coffee or potatoes are more profitable per acre in Tanzania based on a one-year output, assuming the farms receive the best services (optimal inputs, management, and market...
2 Reactions
4 Replies
126 Views
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Anamringi Macha, ameendelea na jitihada za kuhamasisha wakulima kulima kilimo cha kisasa cha pamba ili kuongeza mavuno na kuinua uchumi wa wakulima na taifa kwa ujumla...
0 Reactions
3 Replies
305 Views
Watu wengi wanatamani kufuga samaki lakini wanakosa taarifa sahihi juu ya namna bora ya kufuga samaki, moja kati ya vitu muhimu kwenye ufugaji wa samaki ni kuwa na mbegu bora ya samaki, nikisema...
4 Reactions
61 Replies
2K Views
Habarini wakulima wenzangu. Mimi mkulima mpya (form one) nimejiandaa haswaa na kilimo kipindi hiki kuelekea mvua za vuli. Hofu yangu kuu ni mvua kwani kilimo nilichopanga kufanya kinategemea mvua...
2 Reactions
7 Replies
542 Views
Habari za wakati huu wakuu, Leo tunawaletea mada muhimu kuhusu "Mikoa 10 Inayoongoza kwa Uzalishaji wa Chakula Tanzania". Tanzania imebarikiwa na ardhi yenye rutuba na hali ya hewa inayofaa kwa...
7 Reactions
77 Replies
2K Views
Wanabodi, Natafuta agricultural lime au kwa Kiswahili Chokaa mazao. Nitaipata wapi. Niko Dar es Salaam.
2 Reactions
39 Replies
8K Views
Wadau mwaka jana nililima ekari 9 tu huku Rukwa nikapata Tani 21 na kulingana na Hali ya mvua ilivyokuwa na bei za mbolea nahisi ningepata zaidi mwaka huu nimeandaa ekari 50 kama Kuna mzamiaji Kwa...
7 Reactions
48 Replies
6K Views
Nina shamba ekari 15 lililopo Mbeya. Natafuta mtu wa kuunganisha naye nguvu tufanye kilimo cha alizeti. Kilimo cha umwagiliaji pia kinaweza kufanyika kwakua shambani kuna miti inayotoa maji.
4 Reactions
17 Replies
410 Views
Nina kuku wa mayai zaidii ya 800+.. lakini Kwa Sasa wanashambuliwa na ugonjwaa wakuharaa kinyesi cha njano na cheupee nimetumia dawa za kutosha, ushaurii kutoka Kwa wataalamu lakin wapii sijaona...
3 Reactions
8 Replies
317 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…