Katika biashara lazima kuwe na mipango ambayo itaisaidia biashara yako kusonga mbele, kila biashara imara lazima iwe na mipango ili kuifanya na kuisaidia kusonga mbele kwa wakati husika na baadae...
Habari wakuu
Ni matumaini yangu kuwa mnaendelea na majukumu yenu ya kawaida. Hongereni kwa hilo ! Mimi ni mjasiria mali nahitaji kupanda miti lakini kuna mambo yafuatayo yananitatiza;
1. Ni...
Wana JF,
naomba utaalam na uzoefu.
Kuna bwana mmoja anataka kuniuzia New Holland Tactor lenye 75hp na ni 4wheel. Alipewa zawadi na shirika alikokuwa anafanya kazi June 2012 na hajawahi kulitumia...
Mungu awabariki,
Wakuu naomba tupendekeze topic 4 ambazo unafikiri ndizo zilizokuwa bora kwa mwaka 2013 kisha tutazishindanisha tupate tatu bora. Hii itawamotivate wajasiriamali. Mwisho wa...
Habar5i za asubuhi wanajf,Nimekuwa na plansza mda mrefu za kutaka kuingia kwenye ujasiliamali katika kilimo , baada ya maandalizi yangu kwa mda sasa nimefikia wakati nataka kutimiza ndoto zangu...
Wakuu,
katika harakati za kujikwamua kiuchumi nimeshawishika kuanzisha ufugaji wa kuku. Naomba mawazo yenu juu ya gharama za kuwahudumia kuku wa kienyeji na wale wa kisasa ipoje? Pia hatari ya...
Mungu awabariki,
Wakuu naomba tupendekeze topic 4 ambazo unafikiri ndizo zilizokuwa bora kwa mwaka 2013 kisha tutazishindanisha tupate tatu bora. Hii itawamotivate wajasiriamali. Mwisho wa...
ni bidhaa itumikayo kwenye gari,pikipiki, generator,meli,treni,mitambo ya migodini na vifaa vingine vyote vitumiavyo petrol au diesel kwa ajili ya kusafisha mafuta hayo utumiayo
FAIDA BAADA...
Natafuta shamba la kununua maeneo ya kanda ya ziwa, napendeleo mikoa ya mwanza au bukoba , shamba liwe la hekari moja ( 1) hadi tano ( 5 )
Na vile vile nitafurahi kwa ushauri wowote nitakao pata
Natumai wote wazima wa afya'
naombeni mnisadie kijua:
1. Aina za sabuni zilizopo sokoni (Miche, Maji, Dawa)
2. Sabuni zenye majina makubwa
3. Sabuni zilizo na kiwango cha TBS na BAR CODE
4. Aina...
Wadau wana jf, salaam
mimi ni mjasiriamali mkazi wa Urambo mkoani Tabora. natafuta soko la asali ya nyuki wa kawaida. kuna mtu mmoja alinidokeza kwamba kuna tajiri mmoja ananunua jijini dar kwa...
Habari za humu ndani jamani,mi cku zote nilikua mtu wa kuchungulia sana jf bila ya kujiunga napita majukwaa yote nasoma,nafurahi nacheka pakujifunza najifunza kisha naondoka,lakini ckuwahi kuingia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.