MWASENDA CHUO CHA MAABARA, KITAFUNGULIWA KWA MUHULA WA MASOMO 2014/15 KATIKA KOZI YA MEDICAL LABORATORY ASSISTANT. CHUO KIPO NYASAKA JIJINI MWANZA.
MUDA WA KOZI NI MIAKA MIWILI (2). SIFA...
Kwa wale wanaohusika na shule za sekondari, napenda kuwajulisheni kwamba J&B Graphics and Data Processors inaendesha zoezi la usajili wa wanafunzi wanaotarajia kufanya mitihani yao mwishoni mwa...
Nauza simu jaman ina kama mwezi tu tangu inunuliwe... Mjin pagumu kufulia hakuishi iko poa kabisaaa mpya.470,000/= nakushuka chini.Wajanja na wadau Contacts 0718247575
Ndugu wana JF natamani kuingia rasm kwenye kilimo cha matunda na mboga mboga (Hotculture)
Ningependa kupata japo kwa ufupi tu, namna ya uendeshaji wa kilimo cha Green Beans,Green Peper na...
Wakuu, kuna dogo huko mkoani amegundua opportunity ya biashara ya usafirishaji kwa kutumia Bajaj. Amenipa specification mojawapo kuwa angependa Bajaj hiyo iwe ya aina ya TVS. Nadhani humu kuna...
Wadau wajasiriamali ninawasalimu!
Naomba kupewa ushauri wa ujasiriamali mdogo bisi.
Huwa napenda sana kula bisi, kila nikipita wanakokaanga lazima ninunue nijilieeee, sasa kwa mapenzi haya...
Its black in colour. Operated for almost two years...
Price is 2 milion shillings. Not negotiable.
Its black and in good condition.
Those interested please call 0714282821 or 0753260975.
Naomba msaada wadau;
Kujua ni benki ipi hapa kwetu tanzania inatoa mikopo kwa marejesho ya riba ya chini au nafuu kidogo?
Naamini ntakuwa nimeeleweka,kama sijaeleweka kwa wale walionielewa...
Wadau naomba kujuzwa tanki bora la kuwekekea maji kati ya
1. Sim tank lita 5000 hadi 10000
2. Kiboko tank
Na mengine mnayoyajua na bei zake naomba kujuzwa wadau
Habari Jamiiforums.
Mabibi na Mabwana,
Ombi langu kwenu ni hili.
Je Ninaweza kupanga mabanda ya Kufuga kuku Faida ikawepo?
Kuku ninaotarajia kuwafuga ni Kienyeji(Asili)
Mabanda kwa...
Heshima yenu manajamvi. Nimepata wazo la kufungua duka la kisasa la kuuza mboga mboga na matunda fresh mjini Tanga. Lakini changa moto nayoiona ni jinsi nitaka vyoweza kutunza hizo bidhaa bila...
mimi ni mjasiria mali , nimebahatika kila ninachofanya kinafanikiwa lakini siwezi kufanya kila kitu mwenyewe inabidi vyengine niwashirikishe watu , ninashamba kubwa hapo kiromo bagamoyo...
Wadau natafuta mtu anikoposhe kiboko water tank 10000 Lts nifanye biashara ya kuuza maji maana huku kwetu inalipa. Nitamlipa ndani ya miezi 10. Kama upo tayari tuwasiliane. 0718412041
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.