Salaam;
Naomba msaada kwa anyejua mahali yanakopatikana yale maboksi ya kufungashia keki, kama kuna mawasiliano yao au kuelekezwa walipo nitashukuru sana. Asanteni.
Wakuu marabaada ya kumaliza elimu yangu ya sekondari mwaka 2012 nilijiunga jamii forum nakuwa mnazi ma jukwaa hili, nilijiingiza katika ujasiliamali kwa kusaidia watu mbali kupata mifugo bila mimi...
wadau...
ningependa kujua nitapataje mashine ya kutengeneza pellet ya chakula cha mifugo[samaki/kuku].
kuanzia ndogo ya 50kg per hr mpaka 1ton per hr. Iwe ndani ya nchi au kokote duniani [used au...
Nauza asali kwa ujazo tofauti tofauti kuanzia 20kg 10kg 5 kg 1kg na 500mg tatizo ni soko ndio linanisumbua mwenye talifa ya soko au anao itaji naomba uni saidie
Habari wadau
Mwezi huu katika kutembelea mradi wangu wa kilimo cha alizeti huko Rukwa nimeamua kuvuna na kukamua mafuta mwenyewe kuliko kuuza alizeti, kutokana na bei ya mafuta kuwa ya kuridhisha...
Kama ilivo ainishwa kwenye kichwa cha habari hapo juu.. Nahitaji vifaranga vya bata mzinga, na bata bukini. Kwa mwenye navyo tunaweza kufanya biashara.
nipo dar es salaam. 0718355635
Wapendwa wajasiriamali habari zenyu!
Nimeamua kufuga kuku na nimetamani kufuga machotara wa malawi na kuchi, tafadhlini naomba msaada wa kupata vifaranga bora kwaajili ya ujasiriamali nipo dar...
Wadau habari!nimekuja kwenu kuomba ushauri,baada ya kuzunguka sana na vyeti vyangu kusaka ajira bila mafanikio,nimeamua kwa dhati kabisa kuwekeza kwenye kilimo,nimekuja hapa kuwaomba ushauri kwa...
Salaam wakuu,
kwa kifupi bila kupoteza muda naomba kuuliza means mtu anazotumia kujilipa kile akipatacho cha ziada (profit) kwenye biashara, au ni njia ipi bora wakuu? kwa mfano kama nikifungua...
msungu engineer works dodoma mjini maili mbili
wapendendwa wajasiriamali jipatieni mashine za kuangulia vifaranga kwa bei nafuu
kama ifuatavyo
ya mayai 200- laki nane na nusu (850,000/=)
ya mayai...
'Looking for a Bee-Keeping Partner.' I own a fifty acre Apiary, located at Mihuga Village, Bagamoyo District, Coast Region. I am looking for Mwekezaji wishing to Invest into bee-keeping as...
Habari za jioni Wadau!
Miye ni Mjasiriamali nipo Mwanza, ktk pitapita zangu huku na huko kusaka fursa nimepita center moja huko vijijini imechangamka kweli, kwa kuwa ilikuwa mchana na kajua...
Wana jf mimi ni mjasiriamali nahitaji mashine ya kupak na kufunga (silling and packing machine) ya kukodisha ama used hapa tanzania. Yenye uwezo wa kupaki kuanzia gram 5 had gram 200 (powder)...
Wadau,
Nilipata kusikia kua kuna vijiji unaweza kuomba uanachama wa kijiji ukawa na wewe ni mwanakijiji mwenzao kisha ukiomba mashamba wanakupa (yoteyote).
Hii nimeisikia kua kuna taratibu za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.