Habari wana JF,
Nafuga kuku wa mayai na wana miezi miwili sasa, tatizo limekuja kwamba wanaanza kupoteza mawasiliano baina ya viungo vyao!! Shingo inapinda na miguu inalegea yaani kiujumla...
Ninategemea hivi karibuni nianze kufanya kilimo cha tikiti maji hapo Mlandizi ecari 15.
Kwa ajili ya ugeni wangu kwenye hii biashara nilikua nataka ushauri wa soko na ikibidi hata kupata...
Habarini za jioni ndugu......jamani nataka nianze biashara ya kununua mayai kwa wafugaji na kudzu,tafadhali kwa yoyote mwenye idea tuwasiliane na kwale wakulima pia tafadhali to was I liase no...
Kwa wafugaji waliopo maeneo ya Bunju, Mapinga, Kerege na Zinga ninaweza kuwaunganisha kupata pumba za kulisha mifugo kwa wingi. Bei ni 21000/- kwa gunia la debe saba. Tuma ujumbe ukionesha kiasi...
Wadau nampango wa kufungua kastudio kadogo kwaajili ya kusafisha picha za digital na film, je ni vifaa gani natakiwa kuwa navya na wapi ntavipata. Asanteni
Elisha Chuma ameandaa mpango kabambe wa ushauri wa biashara kwa wafanyabiashara wadogo wa kati na wakubwa na wale wanaotaka kuanzisha biashara ili kuwawezesha kuwa wafanyabiashara wakubwa na...
10 commandments for a youth to be successful
1. Do not depend on Ur parents' wealth. Someone may come tomorrow to dupe you and you will lose everything. Learn to do things on ur own.
2. God has...
Nauza majogoo makubwa yaliyo changanywa na KUCHI... Yana kilo 4..nimeyatoa kwa wasukuma... Jogoo moja elfu 35...Nipo ubungo kona vituo viwili mbele kutoka ubungo stendi...my number is 0717578551
Hivi ni sahihi kumfungulia bihashara mpenz wako ambae bado hamjaoana?
Na kama ni sahihi unafikiri kwa mtaji wa sh. milioni moja unaeza kumfungulia bihashara gani?
Samahani kwa kulileta huku...
Wana JF nauza kiwanja chenye nyumba ya vyumba viwili kimefikia linta. Kina ukubwa wa mita za mraba mia saba. Kipo nyuma ya Marian Boys. Mita mian na ishirini toka Bagamoyo Rd. Bei mil ishirini na...
Kila idea nayojaribu kubuni inani'cost zaidi ya 500,000/= mfano biashara ya kununua kuku toka Singida na kuwauza kwenye migahawa. Naombeni mawazo yenu wadau niweze kujikwamua, nifanye nn kwa hii...
Aina ya vifaranga ni chotara(malawi)
rangi ni kanga nyeusi/brown na nyeupe
uzito ni kg3-5 wanapofikia miezi 3 na kuendelea,
wamekwisha pata chanjo zote,vitamins pamoja na antibiotics...
Njooni tujifunze kwa bakhresa!
1.ANZA MAPEMA, Acha kukawia (Show up early)
Fanya kile unachodhani unaweza kufanya, fanya mapema iwezekanavyo, acha kukawia. Usisubiri hadi muda wa kila kitu kuwa...
GARI inauzwaaaa....!
Toyota Starlety...Engine c.c 1331, year of manufacture 1997. seating capacity 4 passangers....price TSH 4,200,000/- pekee
+255713780010 pia kuna bei ya maelewano pita hapa kwa...
Heshima zenu nyingi sana wakuu
Kwanza nianze kwa kumshukuru Mungu aliyeniongoza mpaka nikajiunga JF hasahasa hili jukwaa letu tukufu maana nimejifunza mengi japo mengi yamenipita sababu wadau...
Ndugu wana jamvi Jf nimeshindwa kujizuia nikaona nitoe ya moyini.
Mosi- Nawashukuru sana tena sana Wote Wana JF mnaotumia muda wenu na pesa kutuelimisha waTz juu ya mafanikio. Be blessed a lot...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.