Habari njema kwa wafanyabiashara, wanafunzi, wafanyakazi, waandishi wa vitabu, hadithi. Na wengine wote
huduma hii inapatikana kwa bei nzuri kabisa 400 @ page
tunapatikana dar es salaam
piga simu...
Habari!! jamani, mimi ni Dereva leseni D, kwa sasa naishi Kigambon Dar es salaam nilikuwa naomba kwa mwenye au anayeuza gari ndogo aina yoyote inayofaa kwa anayeuza kwa ajili ya shughuli...
Msaada dawa ya kuondoa harufu mbaya kwenye banda la mifugo kwani kila cku tunalifanyia usafi ila bado linatoa harufu hasa msimu wa mvua,hii harufu imekua ikiwa ni kero kwa majiran na nyumban kwetu...
Wakuu heshima kwenu
nina kuku wa kienyeji wa kisukuma kutoka kirengezi na kongwa morogoro. ni wakubwa sana. napatikana sinza mori, ntakuletea mahali ulipo kwa dar. Pia napokea oda ya mayai ya...
Habari wana JF mimi naishi mkoani Dodoma nimejiingiza katika biashara ya ufugaji kuku wa nyama. Shida yangu natafuta vifaranga wa kuku wa nyama wa kununua kwani nimekuwa nikiagiza kwa wafanya...
habari wanajamii,nakuhakikishia nauza SAMSUNG GALAXY S4 ORIGINAL bei kuanzia laki 9 nipo Masaki,NamangA-guinea avenue kwa mawasiliano ni +255762205187/+255718857143 au facebook-fortunatus tibrus...
Ndugu wajasiriamali, kiufupi nlikuwa naomba ushauri wenu juu ya hii idea yangu ambayo inaweza kuwa si ngeni, coz ukipita pembezon mwa barabara hasahasa jijini Dar utakutana na vtalu vya maua na...
Habar za leo wakuu!
Napend kuchukua nafac hii kuwaarifu wajasiriamali wenzangu waishio Dsm kwmba kuna fremu maeneo ya cnza darajani karibu tu na njia kuu ya mabasi.kwa ufupi frem hyo nilikuw...
Mimi
niko dar, kwa yeyote mwenye kujua mahali nitapata vikombe hivyo ambavyo
kwa mfano unaweza kutumia kunywea kahawa na kutupa baada ya matumizi.
Anisaidie mawasiliano au namna ya kuvipata...
Wadau wa jukwaa hl poleni kwa majukumu.
mwenye kufahamu ni wapi au jinsi gani barcode kwa ajili ya product (e.g vyakula vya kusindika kwenye makopo e.t.c ) inaweza kupatikana naomba anisaidie...
Habari zenu wanajamvi! Poleni na shughuli za ujenzi wa Taifa. 6¦6 Naombeni mchango katika hiki. Tsh120000, je! Inaweza kuzalisha Tsh1500, kwa siku? Kama haiwezi tafadhali naombeni mniambie...
Nimekuwa nafuatilia biashara nyingi zina kopesheka kwenye tasisi za fedha ila sijawahi sikia wachimbaji wadogo wadogo au wafanya bishara wa madin wandani au exporter
kama wana fursa za kukopa...
Habari wana jamvi....katika harakati za kujiongezea kipato nina biashara yangu ya kufuga kuku wa kienyeji shambani kwangu wapatao 120 hivi....tatizo linalonishangaza nimekuwa napata taarifa kwa...
Heshima kwenu wakuu.
Nimetegeneza bada la kutosha kuku kama 30+ nia yangu ilikuwa nifuge kuku wa kienyeji na kuna mtu ameniahidi kuniletea toka shinyanga vijijini kwa 5000@ na nilipanga nianze...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.