Wadau, habari zenu?
Nina eneo dogo mjini (nyumbani kwangu), kuna eneo lenye ukubwa wa kama 25mx10m.
Nahitaji nifuge kuku wa kienyeji.
Nitakuwa natumia incubator
Nitakuwa nawalisha hydroponics...
NDUGU ZANGU VIJANA WENZANGU
Nimekuwa kwenye ujasiriamali kwa kipindi kirefu kidogonimepita uzoefu mwingi ikiwamo kushindwa na kuamka na kuendelea na sasa nimeonelea nishirikiane na WENZANGU...
wana-forum mimi ni kijana wa miaka 23 ni mwanachuo.. nina malengo ya kuanzisha biashara japo sina uzoefu wa kutosha.. Nina mtaji mdogo sana wa kama milioni moja na bado sijajua ni biashara gani...
Kuna kitu ambacho wananchi wanakuwa wanapotea bila kujua kumekuwa na wimbi kubwa la watu wanaohamasisha na kutoa elimu kuhusu ujasiriamali, Sio wote
Watu hao wanawasaidia watu,lakini...
Nianze kwakumshukuru Mungu ambae mara zote ameendelea kuifanya JF kama kisiwa cha habar mbalimbali.Naomba kwa yeyote mwenye ufahamu wa biashara kati ya hizi nchi mbili anifahamishe nipate...
Hello pipz..Don't miss this out ... An adorable google
galaxy nexus 2 brand new in the box...16gb
internal memory..1gb ram...camera front nd
hind...4g internet...wide display
screen. ..android...
Habari. Motor inauzwa iko ktk halo nzuri imerumika kwa muds was mirzi 3 tu. Being no sh 450000. Iko makongo juu ukitaka kuiona. Namba Yang ni 0758 308193. Picha ntaweka soon.
Habari za leo wana jamvi!
Jamani nawaombeni sana mlione na hili ili tuone uhalali wake.
Kuna hii kitu inatwa TELEX FREE ambayo baada ya kusoma post mbalimbali za wana-mitandao nimejiridhisha...
Kuna shamba la miti ekari 9.5 lenye Hati miliki linalouzwa huku mafinga
Miti imebakiwa na miaka miwili 2 tayar kwa kuvuna mbao shamba eka moja kwa kawaida ni shilling mill 14 lakini hili...
HALOO jumamos(12/04/2014) hii kuna semina kali sana,itakayofanyikia ubungo plaza(blue pearl) saa saba na nusu mchana.inahusu uwekezaji TANZANIA.ipo chini ya Recon Brown wa south Africa na...
Habari zenu wana JF, Mimi ni mjasiriamali mdogo nafanya biahsara ya stationery natoa huduma ya Typing na manual, scanning, binding, photocopy and pasport size. Vyote hivi navifanya kwa bei nafuu...
Location : Ipo Msongola , njia ya kutokea Mbagala Mbande kuelekea Mvuti
: Ina HATI, ina umeme, ina maji
: Ina vyumba kumi (mfumo wa nyumba za kupangisha -...
Wanajukwaa salamu kwenu. Ninaomba msaada wa kimawazo na ushauri;
Wakuu nipo kwenye utafiti wa kuangalia fursa ya kuanzisha taasisi ya ukopeshaji kwa wananchi ambao hawajapata huduma hii kutoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.