Nimechukua fursa ya kufuga Kwale(quails),ndege Wa kipekee,adimu, na mwenye faida kibao kwa binadamu.Kwa miaka mingi amekuwa maarufu barani Asia,Ulaya,na jirani zetu wa Kenya katika kufugwa na...
Heshima kwenu.
natumia simu hivyo nitaandika kifupi.
_kumbe kuku wa kienyeji anaweza kutamia mara saba kwa mbinu ya akishatotolesha unamyanganya vifaranga na unavitunza kama wale wa broila then...
Wakuu napenda kujua ni wapi naweza pata hii barley naihitaji sana na ya kutosha, ingawa najaribu kucheki Karatu, Hanang na West kilimanjaro ambapo inalimwa. mwenye info pls
Heshima mbele wakuu,
Nimeamua kujiajiri baada ya kutafuta kazi kwa muda mrefu, nimeanzisha biashara ya masoko, natafuta masoko kwa kulipwa kamisheni, hivyo basi nawakaribisha watoa huduma wote...
Wadau nauza layers wangu wanataga kwa miezi 4 sasa..wapo 850 nauza 8000 kwa kila 1...niko morogoro lakini naweza kuwaleta popote.Nabadili biashara kwa kufuga zaidi machotara kwa ajili ya...
Wengi wanapenda kutangaza biashara zao, matukio yao ya kijamii, jinsi alivyotokelezea siku husika na mengine mengi. Ulimwengu wa digitali huu. Hifadhi kumbukumbu kwa ajili ya vizazi vijavyo...
Mimi ni kijana ambae nipo Kigoma Vijijini sina mtaji ila nimeweza kuandika mchanganuo wa muladi wa matitkitti maji nina mashamba hivyo Naomba Musaada wa mutaji na ntaweza kurejesha ndani ya miezi...
Habari wako unajasiriamali naombeni ushauri juu ya hii biashara ya mchele haswa maeneo ya kuchukua kwa jumla, gharama zake na usafirishaji wake had dar nataka nifanye hii biashara ..mtaji wangu...
Wana jamvi baada ya kufanya kazi ya kuajiliwa kw muda Nina mpango Wa kufungua kampuni ya matangazo...
Naomba mwenye kujua biashara hii...changamoto zake... na pia ufunguaji wake...
Nawasilisha
wadau mimi nipo dodoma mjini nna mtaji wa sh. Mill 3, sasa kwa waliopo dodoma naombeni mnisaidie kuzitambua fulsa zilizopo, mana mi nimeziona baadhi ambazo kwa mtaji huu sitaweza kuzitekeleza...
Habari Wakuu,
Ninahitaji kampuni au mtu anayeweza kunikopesha mashine hii hapa kwenye picha, nahitaji chombo chenyewe kama kilivyo na siyo pesa lakini sina dhamana. Nitalirejesha deni hili...
Habari wakuu?
Kwa sasa unaweza kuwa wa kwanza kabiasa kupata KARI improved Kienyeji, Hawa ni kuku wenye utagaji wa kiwango cha juu kabisa kuliko hata kuku wa Kisasa wa mayai, Kwa sasa unaweza...
Habari za Jamiiforums.
Kuku wangu wengi wameanza kuugua mafua, na kufa kwa haraka,
Sijui wamekula nini?
tangu tarehe 2/2/14 kila siku kwenye banda ninakuta kuku aliyekufa"
Msaada wa...
Habari zenu.
Nimekuwa nikipata maombi mbalimbali ya ushauri wa mambo ya biashara kutokana na posts zangu ambazo nimekuwa nikiweka humu JF. Na ambayo ilisababisha meseji nyingi zaidi ni ile post...
Hivi mbegu nzuri za vitunguu ni zipi nitajie jina lake. Pia heka moja ya vitunguu hutoa gunia ngapi? Na kwa mkoa wa mara na mwanza gunia la vitunguu huuzwa kwa bei gani?
Hallow wana jf... Nmerud tena niko nauza nafaka zote yaan mchele, unga, maharage, mafuta ya alizeti na vingne vngi vyote vinapatikanika kwa bei ya jumla na rejareja. ..... Tena kwa bei nafuu kabisa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.