Wadau karibuni Kwa picha zaidi kuonyesha jinsi KILIMO na Ufugaji kinavyowatoa wengine,inaweza kuwa wewe Leo karibu Kwa kitabu chochote cha Ufugaji na aina yoyote ya KILIMO.Piga simu 0758303090
Wadau, niko Dar na nina shamba la heka 2, nataka kuanza project ya ufugaji Kitimoto. ni wapi nitapata mtaalamu wa mifugo anielekeze jinsi ya kuanza na kuwatunza vizuri?
Wadau walioko kwenye mtandao wa instragram,tembelea page yetu hapo upate mwongozo kuhusu KILIMO biashara.Ununuzi uuzaji na ushauri wa maswala ya KILIMO na UFUGAJI Kwa ujumla.
Asante
Heshima mbele wakuu.
_Nimekuwa najishughulisha na biashara huku shinyanga kwa muda sasa ila kwa hapa nilipofikia matumaini yametoweka na naona giza mbele.
kipindi cha nyuma nilifanikiwa kununua...
Habari zenu wana jf
Katika pita pita zangu hapa mjini kwa kipindi cha wiki mbili nmeona kampuni zaidi ya 6 zinazoshughulika na kuprocess maziwa kama vile;tanga fresh,mara milk,dar milk,profate nk...
Habari zenu wanajamii?Mimi ni mchungaji ambaye nahitaji kujikwamua na ugumu huu wa maisha. Nina wazo la kutafuta tsh milioni 2 na hapa nina taslim tsh laki 2. Naendelea kutafuta zingine. Nimewaza...
Mwenye taarifa juu ya uuzwaji wa gari tajwa hapo juu naomba anijulishe. Iwe na rangi ya silver na iliyo kwenye good condition kwa matumizi. Pesa ipo cash.
Tuwasiliane kwa +255717935721
Tunahitaji godown mbili kariakoo na maeneo ya karibu na kariakoo.
1. Godown lenye ukubwa wa mita za mraba(squire meter) 500 hadi 700 ( 500m3 - 700m3) liwe maeneo ya kariakoo au nje kidogo ya...
Wana jf nipo chalinze najajishughulisha na uuzaji wa nguo za wanawake kama vile kanga vitenge vikoi madila,wax nk,.Naomba Mwenye Kufahamu Maduka Ya Jumla Ya Hz Nguo,maana Nimekuwa Nikichukulia...
Wana jukwaa kwanza nianze kwa kuwasalimu, naimani wikiend ilikuwa nzuri na mmejiandaa vema kuianza wiki. Binafsi namshukuru mwenyezi mungu mwingi wa rehema kwani kiafya nipo vizuri.
Lengo kuu la...
Napenda kutoa shukrani kwa wana janvi kwa nilichojifunza humu kwa muda mrefu na kufanikiwa kukamilisha kuandika kitabu cha ujasiliamali chenye kurasa 240.... kiitwacho "THE SECRET(S) OF SUCCESS IN...
kiwanja kipo maeneo ya Vianzi karibu na Tank la maji ni tambalale.mita 40 kwa 30 hatua za kawaida.viko 2 on one place.Tsh 4 milion.mawasiliano 0713649555
Kwa wale wafanyabiashara wa tanzania ambao wanafanya manunuzi ya bidha zao kutoka africa kusini epukeni kupoteza hela wakati unapobadilisha shilingi za kitanzania kwenda dolla alafu dolla kwenda...
Wana JF niokoeni mwenzenu, niko Mpanda ambako chanjo za kuku hazipatikani sana. Nishaurini njia rahisi za kienyeji za kulea vifaranga kwani huo ni mtihani ambao umenishinda nami nataka kuwa na...
Asalaam wapendwa...niko dar maeneo ya kijitonyama..nna mtaji wa sh milion tatu...na kuna frem nalipiwa mwaka mzima sasa sijui nifungue biasha gani ambayo kila wiki nina uwezo wa kuongeza laki...
Wadau maisha yanachanga moto nyingi sana. kukabiliana nimeingia katika kilimo cha vitunguu.
Nakaribia kuvuna mwezi mapema mwwezi huu. naomba msaada wenu kwa yeyote anyefahamu wapi naweza kupata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.