tunauza blog website special kwa ajili ya news,stories na mengineyo.website inaitwa walimwengu.com..kama unavoona jina la website linapendeza na kuvutia
website ina muonekano mzuri kwenye desktop...
Wadau wa uzi habariní. Naombeni ushauri juu ya namna ya kuwa FREELANCE ECOLOGIST. Kwa kiswahili kama MWANAHABARI wa MAZINGIRA WA KUJITEGEMEA. Katika hilo nataraji kutafuta na kuzifanyia kazí...
Wadau wa uzi habariní. Naombeni ushauri juu ya namna ya kuwa FREELANCE ECOLOGIST. Kwa kiswahili kama MWANAHABARI wa MAZINGIRA WA KUJITEGEMEA. Katika hilo nataraji kutafuta na kuzifanyia kazí...
Nina kihasi kidogo cha pesa kama 160,000 hivi kwa hio naomba mwenye uzoefu wa biashara ndogo ndogo kwa hapa dar kwa kiwango hiko kidogo cha pesa naweza kufanya biashara hipi.naomba mawazo yenu...
Habari zenu wadau
Mimi namiliki duka la rejareja hapa mjini,napata shida sana ya kuhesabu bidhaa mara kwa mara,sasa natafuta mashine itayofanya hiyo kaziili kujua kila bidhaa inayotoka kama zile...
Nauza majogoo yako ishirini tu aina ya LIGHT SUSSEX yana umri wa miezi saba yana afya njema. Sababu ya kuyauza ni kwamba ninayo 40 nataka nibaki na 20 tu. bei ni elfu 20 kwa jogoo mmoja...
Napenda tena kuwataarifu wa jf kuwa me ninauza mchele kwa bei ya jumla na rejareja na pia napokea order kwa mazao mbalimbali ndan na nje ya nchi popote ulipo kwa mawasiliano unaweza nitafuta kwa...
Nataka kuanza biashara ya utotoleshaji wa vifaranga chotara na kienyeji, napenda kufahamu kwa wazoefu wa biashara hii. Huwa mnawalipisha shilingi kwa yai 1 na taratibu zingine.
Mmeamkaje ndg zangu wanajamvi, mi ni mkazi wa mjini Mtwara kuna kazi nimepata ya kusupply chakula mahali fulani na mtaji wangu nilionao nao ni sh.milioni 2 wakati unaohitajika ni 8 milioni hivyo...
Karibu Legacy Impresion Company ujipatie logo ( nembo) kwa bei nafuu kabisa na haraka, kuna nembo ambazo tayari zimesha dizainiwa za aina tofauti tofauti, kulingana na tofauti za biashara...
Kumekuwa na Mkanganyiko wa matumizi pia ya hivi vitu viwili Branding na Marketing ( Masoko) na imekuwa ni tatizo kugundulika ipi inayotakiwa ianze kati na ipi ni kubwa zaidi ya mwenzake .
kwa...
Hello wanajamvi!,
Natafuta kampuni ya kununua ya freight forwarding and clearing,Nahitaji kuinunua nikiwa kama dalali.
Ningependa kujua taarifa kama zifuatazo:-
Ina patikana wapi?
Ina muda gani...
Hkwa wale wafanyabiashara, wanafunzi, wafanyakazi, waandishi wa vitabu, hadithi. Na wengine wote
huduma hii inapatikana kwa bei nzuri kabisa 400 @ page
tunapatikana dar es salaam
piga simu muda...
Nataka kujiunga na Forever Living products niwe nauza bidhaa zao za alovera kama nyia ya kuongeza kipato changu.wenye uzoefu naombeni ushauri au wale mliojiunga na mko mpaka sasa au mliojitoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.