Habari za jumapili ndugu zangu.
Nimebahatika kupata pesa kidogo kiasi cha millioni 6 hivi nataka kujaribu biashara ya Bajaji.naombeni ushauri ni ipi inafaa kati ya TVS na PIAGIO? nitashukuru kwa...
Habari za Mwaka mpya wakuu,
Mwaka mpya nazani ndo umeanza wakuu na uko speed sana.
Kuna maswala ya muhimu sana ya kuyafanyia kazi kama Watanzania na kama wajasirimali.
1. ISHU YA UJASIRIMALI...
Je wewe ni mfanyakazi au mfanyabiashara mwenye kipato cha wastani?
Je unahitaji kukuza biashara yako na kuwa ya kimataifa?
Je unahitaji kutimiza ndoto zako mbalimbali za maisha kwa uhuru wa...
wadau habar zenu ninawazo la kuanzisha kampuni ya magazet hapa dar. nimefanya utafiti nimegundua inalipa sana, so inaitajika mtaji wa kuanzia ni milion tano na kuendelea, naomba vijan watano tu...
Miti aina ya PINES heka kumi yana umri wa mwaka mmoja yanapatikana Iringa kijiji cha MAPANDA,kwa bei ya milioni nne na ardhi inakuwa ya kwako kabisa. WAHI fursa, nichek PM kwa maswali zaid
BACK TO HOME
PATA T-SHIRT POUWA ZA KIJANJA UWE NA MWONEKANO WA KIAFRIKA ZAIDI.
BEI-20,000Tsh per tshirt.
SIZE-All sizes are available.
COLOUR-Rangi zote zipo.
Mawasiliano zaidi chek kwa...
Wapendwa mim nawasaidia watu ambao wapo bize na kazi zao na wanatamani wajiingize kwenye kilimo, nipm tufanye mawasilia. VILEVILE kipindi hiki mikoa mingi wanavuna hivyo mazao ni bei rahisi sana...
Wakuu heshima na iwe kwenu,
mimi nipo mkoani Rukwa kwa sasa na huku bajaji zimeshamiri kwelikweli na nimegundua jamaa wanapata shida kapata spea parts za bajaji. Na kilichopo huku jamaa wanapata...
Wadau naomba kujuzwa juu ya utaratibu wa kununua hisa za kampuni ya jamii forum kama makampuni mengine ya mitandao ya kijamii mfn fb, twiter, skype nk, msaada tafadhali
Pikipiki ya miguu mitatu (maarufu kama bajaji) aina ya tvs king (rangi nyekundu kama ilivyo pichani) inauzwa. Imetumika kwa mwaka 1, iko katika hali nzuri sana.
Bei ni Tsh 3,200,000 mazungumzo...
KARI-improved kienyeji ni breed ambayo ni pure kienyji nani breed inayo taga mayai mengi hata kuzidi kuku wa kisasa wa mayai, na ilipatika baada ya utafiti wa miaka 10 ambapo zilichukuliwa breeds...
Habari.
Kunahitajika nyama ya punda kwa ajili ya export .Sasa nahitaji information nitapata wapi hizo nyama za punda na utaratibu wote wa kisheria unaohitajika kuanzia kuchinja na kusafirisha...
Asalaam wapendwa... naomba kuuliza.. nimefungua biashara ya kuuza maji na juice kwa jumla..ila ndio nipo kwenye mchakato wa kufatilia leseni.. sasa naweza kufungua kabla cjakamilisha leseni? Maana...
Habari ya mwisho wa wiki wanajamvi. Napenda kupata ufahamu kuhusu UTT au Unit Trust Fund,nimepata kuwasikia jamaa wanaofanya masoko kwenye redio na kwenye Tv hasa ITV kweli nilivutiwa sana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.