Elimu inayokosekana na inayowapoteza wengi katika maisha
Katika mfumo wetu wa elimu kuna elimu muhimu inayokosekana na hakuna sehemu ya kuipata hadi
Ujitambue mwenyewe ambapo elimu hiyo ni...
wakuu heshima kwenu. natafuta fremu dar isiyozidi shilingi 100000 kwa mwezi. iwe karibu na shule zaidi ya moja. kama ipo karibu na shule moja tutaelewana. aliye tayari ani pm. tusaidiane wajasiliamali
Nipo Dar nafanya kazi nimeajiriwa ,kwa sasa nina mil 2 nahitaji msaada wa biashara ya kufanya na mke wangu kwa kuanzia.Naishi maeneo ya kimara baruti na mke wangu anakaa tu home ,yeye anataka...
Hallo wana JF
Habari za mchana poleni sana na majukumu ya siku nzima
Mimi ni kijna nina mkakati wa kufungua shule ya english medium huko jijini mwanza .
Nko katika maandalizi ya awali kabisa ya...
habari wanajamvini,
nimekuwa nikitamani kufanya biashara ya kuuza vitenge.
Nimesikia fununu kuwaTunduma /Mwanza mpakani na ........./Congo ndo maarufu wa uuzaji wa vitenge kwa bei nafuu. je kuna...
Kwa muda mrefu kumekuwa na mjadala mkubwa ikiwa mjasiriamali anazaliwa au anatengenezwa. Kwa kuangalia tabia za wajasiriamali na tabia za binadamu kwa ujumla, wajasiriamali wana tabia za...
Habari wana Jukwaa,
Kama kichwa kinavyoeleza, nafikiria kufungua biashara husika ila kabla ya kufungua nimeona nilete uzi jukwaani ili nipate maelekezo kutoka kwa watu wenye uzoefu na biashara...
wapendwa, mimi ni mtanzania ambaye nimeamua sitawaachia wawekezaji wa nje peke yao wafaidike na utajiri wa nchi yangu. ivi karibuni nilipata kuongea na rafiki yangu ambaye ni foreigner na amefika...
Habari zenu waungwana natumai muwazima na mnaendelea vizuri na shughuli zenu za kila siku,kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu nataka kufungua kampuni ambayo nitakuwa nawatafuta...
Habari za Humu wana MMU.
Naomba mchango wenu kwenye hili jambo langu.
Mie jamani naomba ushauri wenu nimejichanga weee kwa mda wa miaka 33 sasa adi leo hii nimepata kiasi cha Tsh 3M. sie watoto...
Habar jf? Bila shaka nyie ni wazima wa afya! Kabla ya yote nitakuwa si mwenye busura, nisimpomshuku Mungu mwenye enzi, na vitu vyote vimekuwepo kwa ajili yake.Nina ndugu yangu ameshindwa kufanya...
kama akili ingekua hela basi ningekua millionaire..!katika akili yangu nina idea nyingi za biashara tena nzuri,ila tatzo ni capital..kila ninakoenda kupata msaada they either want money ama...
Katika pekuapekua zangu nimekuja kukutana na blog hii ambayo mada zake ni za ujasirimali na zinafunza, kusisimua na kuhamasisha ujasirimali. Sijaona shida kushirikisha maana naona ni mkufunzi...
Nataka nianze kufuga kuku wa kisasa tatizo nahofia dagaa na upatikanaji wake kwa anayejua ntawapataje kwa bei nafuu, kwa kanda ya ziwa anielekeze tafadhali..
Helow wakuu, nipo kwenye mchakato wa kufuga ila lengo langu ni sawa na research yan nataka ndani ya mwaka mmoja nione kama nitafikisha kuku elfu moja kutokana na directory za humu plus za shuleni...
Wajasilimali naombeni kujua bei ya vifaranga vys broiller kwa mwanza, vinauzwa shillingi ngapi kwa sasa??
Nitashukuru sana kwa msaada , najipanga nigependa kuanza biashala ya ufugaji wa kuku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.