Nahitaji kuanzisha kampuni ya usambazaji wa muziki ama Music Store Company Mojawapo ya njia ya malipo ni M-pesa nahitaji kufahamu namna ulipaji wa M-pesa ama tigo-pesa na njia kama hizo unavokuwa...
Ni tarehe 20/09/2014 ndani ya Landmark Hotel, ni semina ya aina yake kuwahi kufanyika. Nitakuwemo katika wale watakao toa mada siku hiyo. Ni fursa pekee kwa wafugaji na wanaohitaji kuanza kufuga...
Mim ni kijana mwanaume naishi dar es salaam,nahitaji kwenda kufanya biashara msumbiji,ninamtaj wa sh.
600000.naomba wafanyabiashara wenyeuzoefu wa huko wanisaidie n biashaea gan ya kufanya.na...
Habari wadau, nimekuwa na idea kichwani kwangu muda sana ila nashindwa sijui nianzie wapi. Nimepata bahati ya kusafiri nje ya nchi kila mwaka mara mmoja na kaa uku miezi sita (Denmark), nikapata...
nyumba ipo kinyerezi dakika tano kutoka Mbuyuni ina sebule kubwa, na nafasi ya home office, dining room ya kutosha jiko,Store, Choo cha public, vyumba vitatu vya kulala kimoja ni Master bed room...
Hivi majuzi tumesikia jamaa yetu akituimbia kuwa biashara zimejaa mapato wakati mishahara imejaa makato.
Yeah, ni jambo zuri hata kama unafanya kazi, ukawekeza kile kidogo cha ziada ili kikue...
Nina eneo la ekari mbili himo km mbili kama uaelekea Himo' liko Barbara ya lami karibu name hotel ya Dar exp. Kama Luna mdau anataka kuwekeza kwenye biashara ya mafuta au apartments tuongee
Hello jf mabibi na mabwana natumai ni wazima wa afya baada ya wikiendi.
Ndugu mwanajamii baada ya kuomba ushauri hapa jukwaaa la ujasiriamali, nimeamua kwa ridhaa yangu kuwa mfugaji wa kuku wa...
Ndugu wana JF mimi ni mtumishi wa umma nimehamishiwa kikazi katika eneo lenye miinuko mikali sana , nimekuta wananchi wa huku wanalima mpunga wa kwenye miinuko (Hill Rice) . Changamoto kubwa...
Je unahitaji nembo au logo itakayoweza kuwakilisha biashara yako mahali popote pale.Basi wasiliana nami ili uweze kupata logo iliyo simple na yenye uwezo wa kuwakilisha biashara yako mahali popote...
Mimi mjasiliamali na zaid nimewekeza katika kilimo cha mpunga na chai... Kwahyo natafuta soko la mchele pia napokea oda tofauti za mazao.... kwa jumla na rejareja....
Kila mmoja wetu ana mawazo mazuri sana ya jinsi ya kuboresha maisha yake. Inawezekana kabisa unajua maisha unayoishi hayawezi kukuletea mafanikio. Hivyo umeshapanga kwenye kichwa chako mipango...
Habari Za Mchana Wana Jamvi, Nina Shamba Langu La Hekari 2 Kule VIGWAZA, Nataka Nilime, Nilimuuliza Mtu Nini Kizuri Cha Kulima Kule Akaniambia Ardhi Yake Ni Nzuri Kwa Kwa Kulima Mihogo Na Mahindi...
Mara nyingi tumekuwa tunaendesha maisha yetu kwa kuangalia watu wengine wanaendesha vipi maisha yao, kitu ambacho si sahihi kabisa, Katika maisha unatakiwa kuwa tofauti nawenzako, unatakiwa...
Habarini za asubuhi members wa jf......napenda kutumia nafasi hii kuwajulisha juu ya apartment zetu zilizo maeneo ya upanga na kariakoo, apartment hizi ni kwaajili yakuuza tu zipo za vyumba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.