hello friends.... plz assist me with business ideas that ranges from 2-5million that wil meet daily peoples demand...and incase of starting up a mini supermarket wat wil be the initial capital...
Habari wandugu,
Naomba kuuliza wana jukwaa hili, Hivi ikitokea ukapewa shillingi za kitanzania milioni 100 ukaambiwa uzifanyie biashara. Je ni biashara gani utafanya?
Habar wana jf. Kwa wale wanaohitaji mayai ya kuku wa kisasa, tuna uwezo wa kutoa tray had 20 kwa siku au 100 kwa wiki. Bei ni tsh 6500. Maongez yapo. Karibun sana.
Wadau,
Nimekua nikipitia jukwaa hili mara kwa mara, na ukweli hili jukwaa limenishawishi sana kua mkulima. Nimeshanunua Ardhi sehemu mbalimbali, iliyobaki ni kuanza tu kilimo.
Sasa basi...
Ndugu zangu watanzania!
Nina wazo la kufungua kampuni lakini sijui pa kuanzia na nimalizie wapi. Najua wapo wenye mawazo makubwa na nafasi ya kunisaidia niweze fikia lengo langu. Nimechoka na...
Habar zenu wandugu.kuna mtu anatafuta fundi wa kushona mkaz wa Dsm awe na jinsia ya kike.kwa aliyetayar ani pm tafadhali.cku za kuja ni jumamosi na jumapili tu na malipo ni 40000/= kwa cku hzo mbili
Habari wakuu,
Nimeandaa eka 2 ajili ya kupanda kitunguu swaumu. Sasa nilipotegemea kupata mbegu imeshindikana.
Basically nahitaji kitunguu swaumu kilichovunwa mwaka jana. Kinakua kimekomaa na...
Wakuu,nimefikiria juu ya wanyama wanaofugwa kwa ajili ya nyama na maziwa. Sijawahi kusikia kuhusu kondoo wa maziwa. Lakini wapo mbuzi wa maziwa na ng'ombe wa maziwa. Maziwa ya kondoo yana shida...
Habari zenu wanajf, ningependa kufahamu mahali ambapo nitaweza kupata shamba kwa kununua ambalo linaweza kumudu kilimo cha matikiti maji au hata mboga za majani,karoti, bilinganya na hoho..Mimi...
Habari zenu wana jamvi!
Ninakusudia kufungua duka la vifaa vya umeme, naomba msaada juu ya uendeshaji wake, kima cha chini ambacho ni kizuri kuanzia mtaji, hasara na ulipaji wake, na changamoto...
Nina mtaj wa million mbil je unafaa kuanzisha biashara n if yes ni biashara gan mim biashara nilizokuwa nawazia kil nikijaribu kuuliz ambao wanafana wananiambia mtaj million mbil kwahy imekuwa...
Reuters) - The world's largest chicken breeder has discovered that a key breed of rooster has a genetic issue that is reducing its fertility, adding to problems constraining U.S. poultry...
Niwakati wa kua Makini na Mikataba ya uwekezaji ya Kilimo- kulingana na upeo na fikra na ulimbikeni wa viongozi tuliona-tusipokua makini matokeo yatakua ni tofauti na matarajio ya wananchi...
ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.